puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
Habari za muda huu Wana Jf.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada husika, Kuna aina ya watu sijui roho zao zikoje, tuseme ndio roho mbaya au vipi.
Nafahamu tumetofautiana tabia na mienendo kutokana na makuzi na mazingira tuliyokulia. Kuna aina ya watu wakikupa kazi. Let say ufundi wa aina Fulani, au shughuli flani hivi yani ni wazito sana kusema kazi imekwenda vizuri hata ufanye kwa ubora wa aina Gani lazima atatafuta kasoro ili tu kuona anakusumbua kwenye kupata malipo yako ikiwezekana hata kukunyima kabisa malipo kwa kigezo Cha kazi haikwenda anavyotaka.
Tabia za hawa watu ziko hivi.
1. Kwanza hawathamini muda, nguvu na akili za watu walizowekeza kwenye jambo husika.
2. hawana huruma hawatambua hicho kipato ni sehemu ya mahitaji ya huyo aliyempa kazi.
3. Hawaoni shida kudhulumu Yani Yuko radhi aonekane mbaya lakini akunyime haki yako
4. Kingine hawaoni shida kukuingiza kwenye hasara na madeni.
Yani kiufupi wanaona hela zao zinapaswa kupokewa kwa jasho, machozi na damu. Aisee hii kitu binafsi nimekutanacho sana kwenye shughuli zangu.
Mimi ni aina ya mtu nikishakuona hvy sioni shida kukuachia hela ila tambua ndio itakuwa mwisho wa Mimi na wewe kufanya kazi.
Je, Ndugu zangu mmekutana na hii dhahma?