imenikumbusha etiAjali ni ajali tu, iwe ya bodaboda, lori, treni, ndege au kuvujika kitanda, kuanguka zote ajali, uwe umetoka kwa hawara, wazazi, kazini, kwa mzee wa upako, kwa mufti zuberi, mganga wa kienyeji au popote pale panapokupa iwe ni rizki au furaha yako, nani mwingine inamuhusu?
Maisha yanaendelea tu
Ipo siku yako… utafumaniwa mtapigwa picha 😹😹Aliponea ponea sana, kuna wale tunaodanganya tupo mashariki ya kati alafu tupo magharibi ya mbali, Mungu atuepushie tu lisitukute jambo.
Angeacha aibu kubwa kwa familia..!!Angekufa wala si shida...
Alimpigia mchepuko wake ukamfata ila ndio hakuwa na amani hata ya kudinywa 😹😹Baada ya ajali alielekea wapi?
Mungu haonekani na hana uhakika km anamuona…!!Yeye anaogopa binadamu, kwanini asingemuogopa Mungu ambaye angemtupa kuzimu/ Jehanamu,kwa kufa na dhambi zake?!🤔
Ni kweli ila familia yako utakuwa umeifedhehesha kuona binti yao ulikufa kwasababu ya kufata mkia tena mkoa..!! 😹😹😹Ukishakufa huna cha kumjibu mtu!
Logical question.Mungu haonekani na hana uhakika km anamuona…!!
Binadamu wanaonekana na wanahukumu, fikiria km mumewe angejua nini kingetokea??
hayo ya familia yanakuw ahayakuhusu tena!Ni kweli ila familia yako utakuwa umeifedhehesha kuona binti yao ulikufa kwasababu ya kufata mkia tena mkoa..!! 😹😹😹
😹😹😹Logical question.
Yanakuhusu vizuri, si umeacha watoto huku duniani na wazazi..!!hayo ya familia yanakuw ahayakuhusu tena!
Na naniIpo siku yako… utafumaniwa mtapigwa picha 😹😹
Unayechepuka naye..!!Na nani
dah, umeongea kwa uchungu sana hadi basi.Yanakuhusu vizuri, si umeacha watoto huku duniani na wazazi..!!
Hujawahi kuona familia wanalipishwa pesa kwa makosa ya marehemu??
Hata wazazi wako wataonekana wa hovyo na watoto wako wataishi kwa masimango, binti yako akiolewa mume ataitumia tabia yako km fimbo ya kumchapia..!!
Hata mitikasi ya kazi sio mapenz tuUnayechepuka naye..!!
Mungu alimuacha awe ushuhudaUmenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!
Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?