Kuna aliyefanikiwa kufungua application ya Ardhi Kiganjani?

Kuna aliyefanikiwa kufungua application ya Ardhi Kiganjani?

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,048
Reaction score
1,424
Habari wakuu,

Kuna hii application ya Wizara ya Ardhi inayoitwa ardhi kiganjani kuna aliefanikiwa kufungua account maana inasumbua sana sijui tatizo nini nataka nifanye maombi ya hati.
 
Back
Top Bottom