Kuna aliyefanikiwa kupata mpenzi aliyetulia love connect?

if not now

Senior Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
186
Reaction score
171
Habari za jioni wana MMU,
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana lakini bado sijalipatia jawabu ni kuhusu hili jukwaa la love connect. Kwa wale waliotafuta wenza huko naombeni kujua kama mmefanikiwa kuwapata maana natarajia kutafuta mwenza.. Hivyo basi wadau naombeni feedback kama unaweza ukapata mpenzi huko aliyetulia au nikazane na kitaa tu
 
Natafuta friends with benefits. awe mwanamke mwenye pesa.....slide in ma PM if interested!
 
Utapata mkuu! Ila ukiwa uko serious wengine huchukulia kama utani na wengine hufanya kujaribu bila kuwa na nia baadae hupotea!
 
Ngoja,walioweka mabandiko waje na mrejesho
 
miss natafuta veeeeep!!!!!!!
 
Kwa haraka haraka nawakumbuka wadau wawili Jovitha na Msukuma msomi. Hawa walileta feedback kua wamepata watu wao humu baada ya kuweka tangazo.
 
Umu huwezi kumpata mke wa kuishi naye .
Labda kama wa kuishi naye humuhumu jf ila kwa nyumbani sidhani kama unaweza kumpata!!
Usimkatishe mwenzio tamaa kwani hao wanawake mnaowatongoza mitaani,makazini,nk.ndo hawahawa waliokua humu na wana mahitaji ya kuolewa vilevile.Wenza humu wanapatikana sana tu tena bila hata kuweka mabandiko nyota zenu zikiendana mnakutana pm mchezo umeisha
 
Natafuta friends with benefits. awe mwanamke mwenye pesa.....slide in ma PM if interested!
We unazo??
 
unapata mkuu tena juzi kuna member mmoja kapata na kaleta mrejesho alivyokuwa mtu hatar kataja mpk jina

so unapata kuwa seriouse tuu kuna videmu kibao ila ukiona sms ya jina miss chaga ujue umasikini unakuita
hahaha mkuu mfuko lazma utoboke
 
Kama mafanikio yapo itabidi nami nibandike bandiko langu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…