Kuna aliyefanikiwa kupata mpenzi aliyetulia love connect?

Kuna aliyefanikiwa kupata mpenzi aliyetulia love connect?

Usimkatishe mwenzio tamaa kwani hao wanawake mnaowatongoza mitaani,makazini,nk.ndo hawahawa waliokua humu na wana mahitaji ya kuolewa vilevile.Wenza humu wanapatikana sana tu tena bila hata kuweka mabandiko nyota zenu zikiendana mnakutana pm mchezo umeisha
Kama ndo hivyo basi inabidi tuanze kuweka vibandiko humu.
 
Wapo waliopata ila hapa ni bahati nasibu sana unaweza kulamba dume au joker, kikubwa ni kuwa makini sana tena sana kwenye mchujo wa hao utakao wapata humu
 
Tangu niweke bandiko mpaka leo sijapata sijapata wakuniliwaza na siku zinazoendelea ndivyo stress zinazidi kunitesa kwenye utawala huu wa Sizonje.
 
Back
Top Bottom