Kuna aliyefanikiwa kupata mpenzi aliyetulia love connect?

Kama ndo hivyo basi inabidi tuanze kuweka vibandiko humu.
 
Wapo waliopata ila hapa ni bahati nasibu sana unaweza kulamba dume au joker, kikubwa ni kuwa makini sana tena sana kwenye mchujo wa hao utakao wapata humu
 
Tangu niweke bandiko mpaka leo sijapata sijapata wakuniliwaza na siku zinazoendelea ndivyo stress zinazidi kunitesa kwenye utawala huu wa Sizonje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…