Kuna aliyetoa pesa ATM ya CRDB muda huu au Leo imekubali?

Kwa simu kuna mda inakubal kuna mda inagoma
 
Wakuu mmeshatapeliwa na mbaya zaidi wahuni wamewakariri hamna mtakachofanya zaidi ya kulalamika kidogo na kusahau.

Futeni jasho pandisheni mkwiji kiunoni maisha yaendelee.
 
CRDB yaleta kizaa zaa tanzagizaa.

Hivi kumbe tunaweza kuchezea mtandao tukaangeza sifuri na mambo yakaendelea bila tabu

Bot, hazina waongezee Ht trillions kadhaa ziingie ktk matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…