Kuna aliyetoa pesa ATM ya CRDB muda huu au Leo imekubali?

Mimi nilienda bank nikajaza form nikanyofoa vijisenti vyangu vyote nilivyovikusanya miaka kadhaa kwa hii biashara yangu ya majeneza!
Bora nivichimbie ndani ya jeneza stoo kuliko vichotwe na wahuni
Biashara inatisha hiyo
 
Watu wa CRDB mbona kelele kila siku.

Si muhame huko au mnalazimishwa kuwa na akaunti huko.
 
Bora uende kwa wakala, Mambo ATM au kuhamisha kwenye simu lolote linaweza tokea hapo kati chenji zikapeperuka.
 
Hivi kumbe tunaweza kuchezea mtandao tukaangeza sifuri na mambo yakaendelea bila tabu

Bot, hazina waongezee Ht trillions kadhaa ziingie ktk matumizi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Account yangu nimeacha kuitumia kwa muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…