Kuna aliyetoa pesa ATM ya CRDB muda huu au Leo imekubali?

Wenzenu madola yao hawaweki bank, wanaweka nyumbani kwao hadi watoto wao wanachukua kuwadolishia na kuwatukanaa juu.

Bakini hapo, mtalia sana mwaka huu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunaonyeshwa mido finga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata kwa baadhi ya wakala unatoa POS inatoa risiti, lakini salio kwa wakala haliongezeki.
CRDB mfumo wao mpya wamebugi sana.

.........Wanaishia kuwatesa wafanyakazi wao waende kazini hadi Jumapili, Nsekela ajitathmini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…