Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

hauzeeee45

Member
Joined
Jul 3, 2024
Posts
23
Reaction score
71
Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap??
Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
 
Midwifery wanatokea diploma, Nursing wengi pia wapo , wapo pia waliotokea clinical medicine kusoma MD, nk. Ila wengi wana GPA ya 4.7 to 5.0
 
Midwifery wanatokea diploma, Nursing wengi pia wapo , wapo pia waliotokea clinical medicine kusoma MD, nk. Ila wengi wana GPA ya 4.7 to 5.0
Kuna dogo ana 4.7 ila ananisumbua kwa hoffu kaka sitapata kaka sitapata nikaona nije kuumuulizia huku sema dogo genius kishenz form 4 alipiga 1
 
Tatizo wanaoita Diploma vilaza, hawajui kuwa katika mwendo kuna kujikwaa. Wanadhani kujikwaa ndiyo mwisho wa mwendo wakati kuna kuamka na kusonga mbele kwa umakini zaidi. Diploma siyo vilaza
DIploma unaweza kwenda hata ukiwa na 1 na hili wengi hawajui ila kwenye guide sheet(sijui kama inaitwa hivi nimesahau) ya kuchagua kujiendeleza kimasomo baada ya kumaliza form 4 kuna kuchagua kwenda chuo au kujiendeleza form 5 ukijaza chuo basi utapelekwa chuo na haijalishi una 1 au 3 .DIPLOMA SI VILAZA
 
Back
Top Bottom