Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

DIploma unaweza kwenda hata ukiwa na 1 na hili wengi hawajui ila kwenye guide sheet(sijui kama inaitwa hivi nimesahau) ya kuchagua kujiendeleza kimasomo baada ya kumaliza form 4 kuna kuchagua kwenda chuo au kujiendeleza form 5 ukijaza chuo basi utapelekwa chuo na haijalishi una 1 au 3 .DIPLOMA SI VILAZA
Swadakta! Kwa sasa mtu anayetaka kuchukua udaktari kama hana A au B ya Physics simshauri aende form five. Aende Clinical Medicine ili akipata First Class ana uhakika wa kupata nafasi vyuo vya udaktari. Lakini lazima ahakikishe anaenda vyuo vilivyo serious vya clinical medicine kama Nyaishozi College ya Mbweni Dar.
 
Bila gpa ya 4 sahau kuhusu MUHAS.
Kuna cousin wangu kakosa GPA ya 4 na kidato cha alipata div 2,ushindani ni mkubwa sahivi watoto wanapasua sana,matarial yako kiganjani
Wewe unasema 4 mwenzako ana 4.9 tena zipo kibao
Kwa mfano kuna dogo namfahamu kapiga pharmacy diploma 4.8😀 sasa unajiuliza hizi alama wanagawa tu au

Ni kwamba siku hizi matarials yajo kibao mtandaoni wanajisomea na anakula na pindi youtube kwann asipasua😀 kwa mtu aliye seriaz na shule
 
Swadakta! Kwa sasa mtu anayetaka kuchukua udaktari kama hana A au B ya Physics simshauri aende form five. Aende Clinical Medicine ili akipata First Class ana uhakika wa kupata nafasi vyuo vya udaktari. Lakini lazima ahakikishe anaenda vyuo vilivyo serious vya clinical medicine kama Nyaishozi College ya Mbweni Dar.
Ina useriaz gani nyaishozi au unampigia promo mama chuwa na mumewe
 
Swadakta! Kwa sasa mtu anayetaka kuchukua udaktari kama hana A au B ya Physics simshauri aende form five. Aende Clinical Medicine ili akipata First Class ana uhakika wa kupata nafasi vyuo vya udaktari. Lakini lazima ahakikishe anaenda vyuo vilivyo serious vya clinical medicine kama Nyaishozi College ya Mbweni Dar.
Issue siyo GPA, ila ushindani ni mkubwa mnoo. Wanao hitaji hapo MUHAS ni wengi,kuliko uwezo wa chuo. Na watoto walio faulu ni wengi mnoo. Kumbuka MUHAS na UDOM zinakimbiliwa kwa sababu ya unafuu wa Ada.
 
Back
Top Bottom