hauzeeee45
Member
- Jul 3, 2024
- 23
- 71
BMLS,GPA YA 4.2 na mwngn ya 4.8Muhas hatuchukui vilaza
Pole sana wapo waliotoboa vizur na sasa ni doctorsMuhas hatuchukui vilaza
sio lazima muhas vyuo ni vingiHivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap??
Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
Kuna dogo ana 4.7 ila ananisumbua kwa hoffu kaka sitapata kaka sitapata nikaona nije kuumuulizia huku sema dogo genius kishenz form 4 alipiga 1Midwifery wanatokea diploma, Nursing wengi pia wapo , wapo pia waliotokea clinical medicine kusoma MD, nk. Ila wengi wana GPA ya 4.7 to 5.0
Pole sana wapo waliotoboa vizur na sasa ni doctors
Sijui lazima MUHAS ajaribu na vyuo vingine kama Bugando, KCMC na Ifakara ila siyo Kampala!Kuna dogo ana 4.7 ila ananisumbua kwa hoffu kaka sitapata kaka sitapata nikaona nije kuumuulizia huku sema dogo genius kishenz form 4 alipiga 1
Form 4 alipiga 1 lakini 6 akapiga 3 kama wa kwangu?Kuna dogo ana 4.7 ila ananisumbua kwa hoffu kaka sitapata kaka sitapata nikaona nije kuumuulizia huku sema dogo genius kishenz form 4 alipiga 1
Nilikuwa sijui kumbe diploma wote ni vilazaMuhas hatuchukui vilaza
Tatizo wanaoita Diploma vilaza, hawajui kuwa katika mwendo kuna kujikwaa. Wanadhani kujikwaa ndiyo mwisho wa mwendo wakati kuna kuamka na kusonga mbele kwa umakini zaidi. Diploma siyo vilazaNilikuwa sijui kumbe diploma wote ni vilaza
Prof. Janabi hajasoma MUHAS na anaiongoza MNHMuhas hatuchukui vilaza
Bila gpa ya 4 sahau kuhusu MUHAS.Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap??
Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
Samahani lakini kupiga 1 na u genius wapi na wapi?Kuna dogo ana 4.7 ila ananisumbua kwa hoffu kaka sitapata kaka sitapata nikaona nije kuumuulizia huku sema dogo genius kishenz form 4 alipiga 1
DIploma unaweza kwenda hata ukiwa na 1 na hili wengi hawajui ila kwenye guide sheet(sijui kama inaitwa hivi nimesahau) ya kuchagua kujiendeleza kimasomo baada ya kumaliza form 4 kuna kuchagua kwenda chuo au kujiendeleza form 5 ukijaza chuo basi utapelekwa chuo na haijalishi una 1 au 3 .DIPLOMA SI VILAZATatizo wanaoita Diploma vilaza, hawajui kuwa katika mwendo kuna kujikwaa. Wanadhani kujikwaa ndiyo mwisho wa mwendo wakati kuna kuamka na kusonga mbele kwa umakini zaidi. Diploma siyo vilaza