Frankly speaking bila unafiki wala kumuonea nimeuskiliza wimbo mpya wa Dimpoz,audio mara 5 na kuangalia video mara 5,sikuamini kama yule ndo Ommy Dimpoz wa Ngagushima,Me n You etc dooh wimbo haueleweki wala nini kwa kifupi mwana siku hizi miyeyusho kabisa amechuja,huko youtube siku ya pili lakin views hata 350k bado hajafikisha.....Ommy kuna Mahali unakosea mdogo wangu kaa chini tuliza kichwa...rudia zile enzi mzee baba,usitembelee nyota ya Ali Kiba utapotea.
Najua kwa Sred hii nakupigia promo kimtindo but umezingua sana ngoma mbovu mno