Kuna Aliyeuelewa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz?

Kuna Aliyeuelewa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz?

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Frankly speaking bila unafiki wala kumuonea nimeuskiliza wimbo mpya wa Dimpoz,audio mara 5 na kuangalia video mara 5,sikuamini kama yule ndo Ommy Dimpoz wa Ngagushima,Me n You etc dooh wimbo haueleweki wala nini kwa kifupi mwana siku hizi miyeyusho kabisa amechuja,huko youtube siku ya pili lakin views hata 350k bado hajafikisha.....Ommy kuna Mahali unakosea mdogo wangu kaa chini tuliza kichwa...rudia zile enzi mzee baba,usitembelee nyota ya Ali Kiba utapotea.

Najua kwa Sred hii nakupigia promo kimtindo but umezingua sana ngoma mbovu mno
 
Huyu jamaa naskia ni Mkongo Uhamiaji embu dilini nae kwanza katuletea mziki mbovu sana sisi mashabiki zake akitoka hapo BASATA mle nae sahani moja.. Kwa kutoa wimbo mbovu
 
mbona wimbo mzuri tu tena sana, hata hivyo watazamaji wengi sana ndani ya siku mbili 350k, angalia nyimbo zake nyingi hata hiyo ndagushima hajawahi fikisha watazamaji 1m wanjera ndo alijitaidi ina kama 1.2m ila hii inaonyesha dalili atavunja rekodi maana trend yake iko vizuri
 
Back
Top Bottom