Kuna Aliyeuelewa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz?

Wenye maskio hawaskilizi wanaoskiliza hawaskii.
 
Duh siku ya pili hajafikisha views 300 aiseee ina maana kiba ndo hatoi wimbo kabisaaaa maana alihaidi wimbo wa ommy ukifikisha views million atashusha vichupa mfululizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio basi tena. Kiba hatoi nyimbo mpaka 2023 maana kwa speed hiyo ya views mpaka zifike milioni 3 sio leo.
 
Tatizo ommy kazidisha u timu na pia anaonyesha kuwa hategemei muzik kuishi na dharau ndogo ndogo kiasi kwamba hata timu kiba hawamfagilii kivile.
hadi umber lulu ndani ya siku mbili alikua na zaidi ya hizo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa kapata sababu nzuri kabisa ya kujiweka kando na lawama za kutotoa nyimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio basi tena. Kiba hatoi nyimbo mpaka 2023 maana kwa speed hiyo ya views mpaka zifike milioni 3 sio leo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa kapata sababu nzuri kabisa ya kujiweka kando na lawama za kutotoa nyimbo
Kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaa hii thread inenifanya nibaini kuwa kweli wabongo ni wanafiki sana ..na hawaujui mziki kabisaaaa""" baada ya kuusikia vyema wimbo wa ommy "" tukiachana na chuki kando "" nadiriki kusema ommy ameimba ile ngoma kwa kiwango cha juu mnooo"" sikuwahi kutegemea kuona kuwa Jamaa anaweza kufikia level ile ya uimbaji....melody zimesimama kabadilika kaacha kubana pua " kaachana na nyimbo za utoto utoto"" yaani bonge si la ngoma...awali nilikataa kabisa kuwa ni yeye ndiye aliyeimba" nilidhni kuwa ni yule Jamaa aliyeimba amarula....BINAFSI NIMERIDHIKA NA ALICHOKIFNYA"""
 
tumeuelewa ndani ya siku tunataka ufikishe viwes 10 milin odder kutoka kwa boss wetu king kiba.
 
nimedownload muda c mrefu youtube huko... to be honest nilivutiwa kakipande huko instagram namna unavyoanza hv nikajua kichupa ktakuwa kikali sana... nilichokuta MB zangu znaniuma jamaa waga namuelewa sana tu ila hapa labda nipewe muda kidogo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…