Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio basi tena. Kiba hatoi nyimbo mpaka 2023 maana kwa speed hiyo ya views mpaka zifike milioni 3 sio leo.Duh siku ya pili hajafikisha views 300 aiseee ina maana kiba ndo hatoi wimbo kabisaaaa maana alihaidi wimbo wa ommy ukifikisha views million atashusha vichupa mfululizo
hadi umber lulu ndani ya siku mbili alikua na zaidi ya hizoDuh siku ya pili hajafikisha views 300 aiseee ina maana kiba ndo hatoi wimbo kabisaaaa maana alihaidi wimbo wa ommy ukifikisha views million atashusha vichupa mfululizo
hadi umber lulu ndani ya siku mbili alikua na zaidi ya hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio basi tena. Kiba hatoi nyimbo mpaka 2023 maana kwa speed hiyo ya views mpaka zifike milioni 3 sio leo.
Kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa kapata sababu nzuri kabisa ya kujiweka kando na lawama za kutotoa nyimbo
hahaaa swadakta ....chiefWenye maskio hawaskilizi wanaoskiliza hawaskii.
kwakweli wabongo "" nimewanyooshea mikono juu"" ile ngoma kuanzia production rylics mpka melody inesimama"" temple iko poa kabisa..."" awali nilikataa kabisa kuwa sio ommy dimpozWimbo ni mzuri...
Nazani u team wako ndio tatzo na sio maskio
[emoji23][emoji23][emoji23]umeniwahi mkuuOmmy dimpoz bado anaendelea na muziki??
Huyu jamaa mambo ya team kiba na team simba ndio yamemuharibu kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23]umeniwahi mkuu
Atajifunza lesson atakaposhtukia yupo kwenye coma na career yakeHuyu jamaa mambo ya team kiba na team simba ndio yamemuharibu kabisaaa
Hahahaha! Hapo katumia translator ama????
Hahahaha! Hapo katumia translator ama????