Kuna Aliyeuelewa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz?

Kuna Aliyeuelewa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz?

mbona wimbo mzuri tu tena sana, hata hivyo watazamaji wengi sana ndani ya siku mbili 350k, angalia nyimbo zake nyingi hata hiyo ndagushima hajawahi fikisha watazamaji 1m wanjera ndo alijitaidi ina kama 1.2m ila hii inaonyesha dalili atavunja rekodi maana trend yake iko vizuri

Ata vunja rekod gani mkuu
 
Ni niliona nikae kimya tu maana ukisema utaambiwa team Fulani

Ila ukweli ni hakuna kitu,labda naye aje na kiki ya harusi kisha azindue brand ya mbege ataskizwa.
 
mbona wimbo mzuri tu tena sana, hata hivyo watazamaji wengi sana ndani ya siku mbili 350k, angalia nyimbo zake nyingi hata hiyo ndagushima hajawahi fikisha watazamaji 1m wanjera ndo alijitaidi ina kama 1.2m ila hii inaonyesha dalili atavunja rekodi maana trend yake iko vizuri
na mpka sasa kwenye trend ipo no 1
 
mbona wimbo mzuri tu tena sana, hata hivyo watazamaji wengi sana ndani ya siku mbili 350k, angalia nyimbo zake nyingi hata hiyo ndagushima hajawahi fikisha watazamaji 1m wanjera ndo alijitaidi ina kama 1.2m ila hii inaonyesha dalili atavunja rekodi maana trend yake iko vizuri
Ndani ya masaa mawili mond anaweka viewers1m
 
Ndani ya masaa mawili mond anaweka viewers1m
hebu jaribu kutifautisha mantiki ya wimbo mzuri " na mantik ya kuwa na fan base kubwa "" hivi ni vitu viwili ambavyo viko tofauti "" nyimbo nzuri hata wewe waweza kuimba lakini kwakukosa khaki kuwa na fan base kubwa haitokuwa Ina maanisha kuwa nyimbo yako ni mbaya "" yaweza kuwa unekosa management imara yakuweza kukufanyia media wise yakutosha that's why ukawa huna fan base kubwa ""
mfano mdogo kuna Dogo mmoja anaitwa marioo ana bonge si langoma "" kaachia linapigwa ile mbaya "" lakini hata wewe sidhani kama unamjua """
 
Frankly speaking bila unafiki wala kumuonea nimeuskiliza wimbo mpya wa Dimpoz,audio mara 5 na kuangalia video mara 5,sikuamini kama yule ndo Ommy Dimpoz wa Ngagushima,Me n You etc dooh wimbo haueleweki wala nini kwa kifupi mwana siku hizi miyeyusho kabisa amechuja,huko youtube siku ya pili lakin views hata 350k bado hajafikisha.....Ommy kuna Mahali unakosea mdogo wangu kaa chini tuliza kichwa...rudia zile enzi mzee baba,usitembelee nyota ya Ali Kiba utapotea.

Najua kwa Sred hii nakupigia promo kimtindo but umezingua sana ngoma mbovu mno
Huyo dogo snitch flan hivi alijua akiside na Kiba atamwangusha Simba,kumbe mchizi anajiunguza mwenyewe hata Team Kiba wanampotezea tu washamshtukia.....
 
miie nahasabu wangapi mzuri, wangapi m baya
 
Duh siku ya pili hajafikisha views 300 aiseee ina maana kiba ndo hatoi wimbo kabisaaaa maana alihaidi wimbo wa ommy ukifikisha views million atashusha vichupa mfululizo
Alikiba kaishiwa... hivi omy atafikisha mil3 viewers [emoji23] [emoji23] ...
mziki wa masharti mashabiki zake wana tabu
 
Mtu yoyote akijiegemeza kwa alikiba anapotea..
Ali kiba anaendekeza kiburi na uswahili.
Omy anajikaza tu ,ila kipindi yuko na domo alifikaga mbali hadi tukahisi jamaa atakua mrithi wa domo
..
Ningekua msanii mara100 nitembelee nyota ya Diamond..
Haoni akina hamonaizi[emoji23]

Ajikaze tu ivyo ivyo ila kashafeli
 
wimbo mkali kuanzia kwenye dk 1:50 alipoimba yule dada kambeba sana omy
 
Back
Top Bottom