Kuna Aliyeuelewa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz?

Huu wimbo, nna siku 3 mfululizo kuanzia asubuhi mpaka usiku ninaupiga wenyewe tu, tunatofautiana ladha lakini.

Wimbo mzuri sana.
 
haswaaa...wimbo mzuri huwa hauhitaji kuusikiza Mara nyingine iliuweze kuujua uzuri wake ....yaani ukiusikiza kwa Mara ya kwanza tu "" kama kweli wajua mziki .unajua kuwa hii ni hit song
U didnt understand me... nausikiliza mara kwa mara sababu naupenda, na si sababu ya kuta kuuelewa vizuri. Halafu kwenye kuupenda mwimbo kuna mambo mengi mno. Kwangu mimi kupiga inform of slow music (napenda muziki wa taratibu sababu unaamsha feelings) na kuchanganya lugha, hasa kinyarwanda, kanikosha mno.
 
hahaaa...madame "" nilipokuwa nasema kuwa wimbo mzuri hauhitaji kuusikiliza Mara nyingi ilikuubaini "" sikuwa na kukosoa wewe ktika kuusikiliza kwako Mara kwa Mara "" Bali nilikuwa nakazia ile comment yko huku nikiwakosoa wale waliosema wimbo ni mbaya"" yaani nilikuwa Niko pamoja nawe 100%....ndio maana nikasema kuwa vibe ya wimbo mzuri haukuhitaji kuusiklixa Mara nyingi ili ndio uupende "" wajua kuna nyimbo nyingine huwa zina tamba kwaajili ya media kuiforce kupendwa na watu "" but nyimbo nzuri huwa haiko hivyo "" ukiisikiliza Mara moja tu nakuibaini lazima mwenyew utaitafuta
 
Aache kujipendekeza kwa Ali Kiba, afanye kazi sio kujilambalamba lips tu.
Wanaoingia mtafaruku na dogo wa Tandale wote hukimbilia kwa Kiba...rejea Wema, Jokate na sasa Ommy..bora ya wadada wao walienda kwa amani ila jamaa alienda na kuanzisha malumbano ya mtandaoni wakati yule jamaa alikuwa ni mshikaji wake wa karibu hivyo hata kama kuna tatizo bado lingeweza kutatuliwa hata miaka 10 ijayo
 
hahaaa...madame "" nilipokuwa nasema kuwa wimbo mzuri hauhitaji kuusikiliza Mara nyingi ilikuubaini "" sikuwa na kukosoa wewe ktika kuusikiliza kwako Mara kwa Mara "" Bali nilikuwa nakazia ile comment yko huku nikiwakosoa wale waliosema wimbo ni mbaya"" yaani nilikuwa Niko pamoja nawe 100%....ndio maana nikasema kuwa vibe ya wimbo mzuri haukuhitaji kuusiklixa Mara nyingi ili ndio uupende "" wajua kuna nyimbo nyingine huwa zina tamba kwaajili ya media kuiforce kupendwa na watu "" but nyimbo nzuri huwa haiko hivyo "" ukiisikiliza Mara moja tu nakuibaini lazima mwenyew utaitafuta
Duh.. kama mtihani nilifeli, sikuelewa swali.. anyway, Gotcha u hearly. Tuendelee ku support good music.
 
Ommy dimpoz Katoa Wimbo kwani!???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji33][emoji33]
 
Wanaoingia mtafaruku na dogo wa Tandale wote hukimbilia kwa Kiba...rejea Wema, Jokate na sasa Ommy..bora ya wadada wao walienda kwa amani ila jamaa alienda na kuanzisha malumbano ya mtandaoni wakati yule jamaa alikuwa ni mshikaji wake wa karibu hivyo hata kama kuna tatizo bado lingeweza kutatuliwa hata miaka 10 ijayo

Kijamaa kina tabia za kichoko kile. Hata huyo Ali Kiba awe makini nacho, vijitu vipambe ya dizaini ile huwa haviaminiki.
 
Tatizo kila mtu ana nafasi ya kukosoa daktari anamkosoa mwanasiasa na wewe sajabu hujawahi ona kifaa hata kimoja lakinj unajitia maujuzi unakuja kujudge mziki
 
hahaaa...madame "" nilipokuwa nasema kuwa wimbo mzuri hauhitaji kuusikiliza Mara nyingi ilikuubaini "" sikuwa na kukosoa wewe ktika kuusikiliza kwako Mara kwa Mara "" Bali nilikuwa nakazia ile comment yko huku nikiwakosoa wale waliosema wimbo ni mbaya"" yaani nilikuwa Niko pamoja nawe 100%....ndio maana nikasema kuwa vibe ya wimbo mzuri haukuhitaji kuusiklixa Mara nyingi ili ndio uupende "" wajua kuna nyimbo nyingine huwa zina tamba kwaajili ya media kuiforce kupendwa na watu "" but nyimbo nzuri huwa haiko hivyo "" ukiisikiliza Mara moja tu nakuibaini lazima mwenyew utaitafuta
Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya hit song vs best song.
i.e chura ni hit song ila sio best song lakini huu wa ommy ni best song kwa uhakika.
 
Ni niliona nikae kimya tu maana ukisema utaambiwa team Fulani

Ila ukweli ni hakuna kitu,labda naye aje na kiki ya harusi kisha azindue brand ya mbege ataskizwa.
Hahahaaa daah mshikaji umekunywa maji ya bendela kabisa ya wcb maana ww ninkuponda tu upande wa pili. Mbona wimbo mzuri tu.
 
Achana na wcb wao kiki zao zote zimebuma. Watu wamemkazania ommy sababu ya kubebwa na kiba. Kiba kasema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3mil
Tokea zari aachwe unaombea hata usikie domo katupiwa mayayi viza.
 
Tatizo kila mtu ana nafasi ya kukosoa daktari anamkosoa mwanasiasa na wewe sajabu hujawahi ona kifaa hata kimoja lakinj unajitia maujuzi unakuja kujudge mziki
hahaaa nimeielewa sana hii comment
 
Wabongo bwana!!
Wimbo mbona mzuri sana tu!! Nimependa ameondoka kidogo kwenye comfort zone yake na amefanya vizuri.
 
Ukifatilia sana ommy. Manyema mwenzangu utaona uzaifu wake katika kutaka awe kama ali kiba wakati hata kiba anatembelea bifu Na wasanii wenzake

Ommy sio yule niliemzoea
Muziki siju hizi ni ushindani sana vijan wengi wamejitokeza kutaka kushika Namba 1 wanafanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii pia

Badilika ndugu ommy dimmpo
 
Mtu yoyote akijiegemeza kwa alikiba anapotea..
Ali kiba anaendekeza kiburi na uswahili.
Omy anajikaza tu ,ila kipindi yuko na domo alifikaga mbali hadi tukahisi jamaa atakua mrithi wa domo
..
Ningekua msanii mara100 nitembelee nyota ya Diamond..
Haoni akina hamonaizi[emoji23]

Ajikaze tu ivyo ivyo ila kashafeli
Ukiiga nyota ya diamond. Angalia utaonesha chupi barabarani kwake yy haonagi vibaya
 
Back
Top Bottom