Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,069
- 1,958
Uko Tanzania ipi? Unajua.maana ya kukana, ni kwenda kinyume na makubaliano,Hivi ni Mbowe alimkana Slaa au Slaa ndo alimkana Mbowe, CDM na ukawa kwa ujumla?
KabisaAliyegundua siasa alitakiwa kupigwa risasi kabla hata huu ugunduzi wake wa kijinga haujaenea duniani..
Umefikiri vizuri.Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,
Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,
Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,
Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao
Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,
Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,
Ipo siku mbowe atamtenga lissu
Tusubiri
Yes.ipo.sikuUmefikiri vizuri.
Kuwa mtoto ni haki yako ıla kutuonesha utoto wako huna haki hiyo. Kama Lowassa ni fisadi kweli, mwambie kaka yako ampeleke mahakamani na wewe ukatoe ushahidi! Vinginevyo ondoa utoto wako hapa.Uko Tanzania ipi? Unajua.maana ya kukana, ni kwenda kinyume na makubaliano,
Chadema haikutaka fisadi, sasa misimamo ilibebwa na slaa.,.mbowe akamkana akamleta.fisad
Lisu kwisha kazi yake.... Msione aibu risasi zenu zimekataa kumuua Lissu, kajipangeni upya.
Ni kweli, bali umepitwa na wakati mkuu.Anyway, naskia posts za usiku zinakua ni double payments (14,000/=), yanaukweli haya?
Aliyekuambia lowasa fisadi ni nani? Kama ni fisadi si mmpeleke kwenye mahakama za mafisadi?Uko Tanzania ipi? Unajua.maana ya kukana, ni kwenda kinyume na makubaliano,
Chadema haikutaka fisadi, sasa misimamo ilibebwa na slaa.,.mbowe akamkana akamleta.fisad
Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,
Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,
Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,
Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao
Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,
Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,
Ipo siku mbowe atamtenga lissu
Tusubiri
Ujinga kweli mzigo! Kama huelewi jambo si ukae kimya tuu! Mbona unawashwa washwa namna hii?Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,
Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,
Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,
Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao
Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,
Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,
Ipo siku mbowe atamtenga lissu
Tusubiri
Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,
Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,
Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,
Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao
Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,
Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,
Ipo siku mbowe atamtenga lissu
Tusubiri
Jibuni hoja,matusi ya nini
Wakati wapinzani wanamuita fisadi mahakama hazikuwepo?,Aliyekuambia lowasa fisadi ni nani? Kama ni fisadi si mmpeleke kwenye mahakama za mafisadi?