Sikiliza
Tetty, tunahitaji strong opposition sio usanii wa comrade. CCM sijawahi kuitetea coz ndio iliyotufikisha hapa na huu umasikini wetu ni matokeo ya sera mbovu na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa.
Lakini unapokuwa na opposition mbovu namna hii chini ya Mbowe, unategemea kweli wakishika dola kuwe na afadhali? Au wewe na wenzako ndio mtapewa "shavu" ili kuendelea kuitafuna nchi.
Let's be honest, CCM ni mbovu na ipo hoi. Whether or not Magu is doing a good job, hilo linabaki kwa individual judgment, lakini Mbowe has failed terribly.