Kuna aliyewahi sema ipo siku Mbowe atamkana Dkt. Slaa, naiona siku Mbowe anamkana Lissu

Mbowe kwake ni money first, chagana huyo!, Ooh!

Kama ilivyo kwa Mwenyekiti Wa Chama Cha Majambazi ambaye ili kuendeleza wizi Wa Raslimali zetu za Taifa ameamua kununua na kuvilupua kwa Mara ya pili vichwa hewa vya train kama ilivyokawaida yake maana baada ya kupiga bilioni nane za kivuko kibovu naona Vichwa vya train vinakuja kupigwa navyo.

Shame on you
 
Hahahahahaaa mkuuu mtoa mada bhana hahahahahahaa be seious bhana watu wanakioenda cHama chao bhna sio vzr kuwadharau ukipenda mavi utaita mbolea hahahahahaha

Mkiona ushilawadu mko vizuri mujibu nendeni mkajibu Uzi Kyle Mwenyekiti wenu abapiga pesa tena kqenyw vichwa vya train.Badala ya kushabikia ushilawadu tujasili hoja za kulijenga Taifa.

Shame on you
 
Mkiona ushilawadu mko vizuri mujibu nendeni mkajibu Uzi Kyle Mwenyekiti wenu abapiga pesa tena kqenyw vichwa vya train.Badala ya kushabikia ushilawadu tujasili hoja za kulijenga Taifa.

Shame on you
Utakuwa na fungu kubwa sana toka CDM, haiwezekani utetee kila kinachoisema CDM. huoni kabisa jinsi Comrade Mbowe alivyokuwa Judas? Jinsi alivyobadilisha gear na kumkaribisha EL chamani, kumpa nafasi ya kugombea uraisi kupitia CDM? Can't you see that Mbowe was a traitor?

Utakuwa unalipwa pesa nyingi kukitetea chama. Hongereni kwa kuitafuna ruzuku.
 
Hivyo kwa nini hiki cha Lowassa kinawatesa sana. Ni zile 8m zilizogeuzwa na NEC kuwa 6m 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂? Poleni sana.
 
Tumia akili badala ya kupumzisha kichwa chako usiku wewe unashinda kuandika mitandaoni, Utakuwa maskini sana kitanda hakilaliki inaonekana una mawazo ya pesa, Pesa haitafutwi kwa kujadili matajiri kama mbowe, Huyo Mbowe sio level ya ukoo wako, Jiulize kwenye ukoo wako kuna mtu amewahi hata kumiliki Range rover? Watu wanawakana Mama zao sembuse kwenye siasa
 

Wewe umepokea ngapi toka Chama Cha Makinikia??Ulichopokea na mie ndicho nilichopokea.Acheni ujinga wa Tanzania tunavitu vingi vya kuhoji na siyo upumbavu mnaoleta kila kukicha.
Traitor mpaka sasa ni Mwenyekiti wa Chama Cha Majangili
 
Wewe umepokea ngapi toka Chama Cha Makinikia??Ulichopokea na mie ndicho nilichopokea.Acheni ujinga wa Tanzania tunavitu vingi vya kuhoji na siyo upumbavu mnaoleta kila kukicha.
Traitor mpaka sasa ni Mwenyekiti wa Chama Cha Majangili
Politics run the world, tunapokoses kwenye politics ndipo tunazidi kuliangamiza taifa. How do you accuse someone of being the most corrupt person then invite him to make a combo, just overnight?

Endelea kumpigania comrade Mbowe lakini ukweli ni kuwa he's a traitor, Judas na uchagga wake(umachame) hauwezi kuutenganisha na upigaji(pesa). He's doing a great deal of business.
 

Kama unavyoendelea kumpigia the country traitor anayeona kupoteza watu ndiyo uongozi.Sijui akiua wote atatawala nani.

Kama mpigaji pesa ni aliyenunua kivuko kibovu cha mwaka 1948 kwa bilioni nane na leo ananunua mabehewa hewa kwa bilioni71,sijui ni za uchaguzi.

Ukileta ushahidi wa Mbowe kula RUZUKU nitakuelewa lakini kwa sasa umasikini wa TAnzania umeletwa na TRAITORS wa CCM waliouza raslimali zetu kwa wageni period,ukitaka meza au tema huo ndiyo ukweli
 
Sikiliza Tetty, tunahitaji strong opposition sio usanii wa comrade. CCM sijawahi kuitetea coz ndio iliyotufikisha hapa na huu umasikini wetu ni matokeo ya sera mbovu na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa.

Lakini unapokuwa na opposition mbovu namna hii chini ya Mbowe, unategemea kweli wakishika dola kuwe na afadhali? Au wewe na wenzako ndio mtapewa "shavu" ili kuendelea kuitafuna nchi.

Let's be honest, CCM ni mbovu na ipo hoi. Whether or not Magu is doing a good job, hilo linabaki kwa individual judgment, lakini Mbowe has failed terribly.
 
Siku akifika bei kwa ccm...tunamtupa kulee..hatuitaji ujinga cc
 
 
Slaa amemkana Mbowe

Hilo mbona liko wazi

Mbowe hajawahi kuongea chochote kibaya kwa slaa tangu aondoke.

Alichokosea Slaa ni kusahau kuwa chama cha siasa ni jumuiko la watu..sio la watakatifu...watu wanaokubali kuunganishwa kwa ideology moja na approach moja ya kushika dola
 
Uko Tanzania ipi? Unajua.maana ya kukana, ni kwenda kinyume na makubaliano,

Chadema haikutaka fisadi, sasa misimamo ilibebwa na slaa.,.mbowe akamkana akamleta.fisad
hayo makubaliano yaliyovunjwa dk slaa naye pia si alikuemo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…