Kuna aliyewahi sema ipo siku Mbowe atamkana Dkt. Slaa, naiona siku Mbowe anamkana Lissu

Uko Tanzania ipi? Unajua.maana ya kukana, ni kwenda kinyume na makubaliano,

Chadema haikutaka fisadi, sasa misimamo ilibebwa na slaa.,.mbowe akamkana akamleta.fisad
Wewe kweli jingalao,maamuzi ya kamati kuu lazima yaheshimiwe na sio tu slaa hata mbowe mwenyewe.Kadeki tu vyoo vya Lumumba mkono uende kinywani Leo zamu yako
 
Go back to kindergarten!
 
Uko Tanzania ipi? Unajua.maana ya kukana, ni kwenda kinyume na makubaliano,

Chadema haikutaka fisadi, sasa misimamo ilibebwa na slaa.,.mbowe akamkana akamleta.fisad
Unaweza kuutaja ufisadi wowote alioufanya Lowassa akiwa chadema?!..
 
Siasa siyo hisabati, siasa haifanyi kazi kwa theorem, siasa hubadilika badilika kutokana na muda na mahitaji ya mwanachama ama chama husika kwa wakati huo.

Hakuna kitu cha kudumu kwenye Siasa my friend. Siasa inafanya kazi wa wakati uliopo, haina reference kama history science and law. na ukitumia matukio ya kisiasa kama reference unakuwa kichekesho.
 
 
Naam. Huo ndio ukweli wenyewe. Wafia chama watakuja Na matusi Na kejeli lakini history Ni mwalimu mzuri sana
 

Ukitaka kujua chama cha Upinzani ni strong unajuaje??Je katika mazingira ya chuki na visasi utaona chama cha upinzani kama ni strong au lah!

Ukitaka kujua Chuki na visasi soma comments tunazoandikiana na mabishano unadhani kuna health arguments??
 
Mbowe hanunuliki
Mbowe si Lipumba
Mamluki Kitila na Mwigamba wanemshindwa
Kumdhoofisha kiuchumi hakutetereka
Kwa hiyo mbinu yenu mpya ni kutaka kumfarakanisha na Lissu,poor you mtashundwa kama mlivyoshindwa-;
Kilimo kwanza
Maisha bora
Kuondoa umaskini,ujinga na maradhi kwa miongo Saba sasa
Kama ndoto ya viwanda nk
Nyie mmelaaniwa kutofanikiwa chochote hata kumuua Lisu baada ya kutumia risasi arobaini
 
Ukitaka kujua chama cha Upinzani ni strong unajuaje??Je katika mazingira ya chuki na visasi utaona chama cha upinzani kama ni strong au lah!

Ukitaka kujua Chuki na visasi soma comments tunazoandikiana na mabishano unadhani kuna health arguments??
Kama ndani ya upinzani tunakosa true democracy, upinzani usio na succession of power/leadership, one man show miaka nenda miaka rudi, kutumia mabavu ili tu mtu fulani apate nafasi ya kuwania uongozi, kwa nini tulalamike kuhusu udikteta 'uchwara' kama ambavyo tumekuwa tukisema?

Sidhani kama tuna upinzani imara, Mbowe, "Lipumba wa CCM" na Mbatia hawana dira yoyote ya kuishika dola na kubadilisha mwelekeo wa taifa. Tuwe wakweli tu.
 

Ukitaka kujua upinzani unakopitia basi ungejua kwanini bado Chadema wameamua kumuacha Mbowe awe Mwenyekiti na si sababu za kula ua zozote hivi ulitegemea Lipumba aje awe kituko??

Anayedhoofisha upinzani ni wale wanaojiita wenyeviti kumbe wanasubiria DAU lipande kama ilivyo kwa Lipumba.Hivi kuna mahali Mbowe anakataa kupewa mawazo??Mbona wengine tunampa mawazo mbadala na anayafanyia kazi??Umewahi kupeleka akakutumia polisi au wauaji waje kukumaliza??

Changamoto za upinzani ni kubwa na si rahisi kumpata kiongozi mwenye msimamo,tumemuona ZZK,nawaza leo ZZK angekuwa CDM sitegemei kama ingekuwa iko HAI au ingekuwa nyachi nyachi haipo,ona jina ACT ilivyo ni kwa sababu imekosa Mwenyekiti mwenye maona na strong.
 
Kweli mkuu unaweza ukaona watu wamesoma lakini utumbomtupu Wana wabeba wavutabangi wanasema Wana wanachama du kweli aliengundua upzn aendeshuletena
 
Aliyegundua siasa alitakiwa kupigwa risasi kabla hata huu ugunduzi wake wa kijinga haujaenea duniani..

Mkuu Siasa ni maisha na Maisha ni Siasa, siasa ipo kila engo katika maisha yetu!

Mfano Mdogo: Dem unapomjaza, kua utamfanyia hiki mara kile... akijaa tu unapiga, unamuachia manyoya!

au Dogo maskan anakulilia mwende wote, we unapiga sound "nenda kavae viatu twende" akitoka we ushasepa!
 
Aliyekuambia lowasa fisadi ni nani? Kama ni fisadi si mmpeleke kwenye mahakama za mafisadi?
Na aliyewaambia ChagaDEMA kuwa Magufuli ni dictator nani? kma ni dictator si mkamshitaki The Hague?
 
"Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose," Mimi ni mpinzani lakini imebidi nicheke.
 
Haahahahhhh.....mkuuu acha kupanic...

Kwako kuna mwiz nani kasema...ni mimi sio wew. Qn. nani anatakiwa kukupa ushaidi?
 
Kweli mkuu unaweza ukaona watu wamesoma lakini utumbomtupu Wana wabeba wavutabangi wanasema Wana wanachama du kweli aliengundua upzn aendeshuletena
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…