....Mbowe, Lowassa, Mbowe, Chadem.... same topic day in day out? Hamna lingine la kuongoea?Uko Tanzania ipi? Unajua.maana ya kukana, ni kwenda kinyume na makubaliano,
Chadema haikutaka fisadi, sasa misimamo ilibebwa na slaa.,.mbowe akamkana akamleta.fisad
Mtasubiri sana lakini Lissu na Mbowe ni kama mfuniko na chupa ya soda.Ipo siku mbowe atamtenga lissu
Tusubiri
Sasa strong opposition mnawapiga risasi nani aje! Bungeni wakisema wanafukuzwa mikutano boss wenu hatakiSikiliza Tetty, tunahitaji strong opposition sio usanii wa comrade. CCM sijawahi kuitetea coz ndio iliyotufikisha hapa na huu umasikini wetu ni matokeo ya sera mbovu na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa.
Lakini unapokuwa na opposition mbovu namna hii chini ya Mbowe, unategemea kweli wakishika dola kuwe na afadhali? Au wewe na wenzako ndio mtapewa "shavu" ili kuendelea kuitafuna nchi.
Let's be honest, CCM ni mbovu na ipo hoi. Whether or not Magu is doing a good job, hilo linabaki kwa individual judgment, lakini Mbowe has failed terribly.
Mbowe alimkana slaa akamchukua Lowasa kugombea umagogoniHivi ni Mbowe alimkana Slaa au Slaa ndo alimkana Mbowe, CDM na ukawa kwa ujumla?
Dictator! Kwanini true anafanya mikutano wenzie anapiga risasiNa aliyewaambia ChagaDEMA kuwa Magufuli ni dictator nani? kma ni dictator si mkamshitaki The Hague?
Hiyo ni tafsiri yako Mkuu, anyway nani alimlipia Slaa maisha Canada maana hata hela ya kula hapa Bongo hakua nayo alikua anashindia miogo miwili mitatu tu.?Mbowe alimkana slaa akamchukua Lowasa kugombea umagogoni
HahahahaHahahahahaaa mkuuu mtoa mada bhana hahahahahahaa be seious bhana watu wanakioenda cHama chao bhna sio vzr kuwadharau ukipenda mavi utaita mbolea hahahahahaha
Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,
Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,
Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,
Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao
Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,
Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,
Ipo siku mbowe atamtenga lissu
Tusubiri
Umesahau aliyetaja mafisadi wakuu wakiongozwa na Lowasa?Aliyekuambia lowasa fisadi ni nani? Kama ni fisadi si mmpeleke kwenye mahakama za mafisadi?
KwaniniHahahahahaaa mkuuu mtoa mada bhana hahahahahahaa be seious bhana watu wanakioenda cHama chao bhna sio vzr kuwadharau ukipenda mavi utaita mbolea hahahahahaha
Unalia lia niniJF mods na owners msipoangalia JF itakuwa kijiwe cha ushilawadu badala ya kujadili hoja za kulijenga Taifa tunajadili matusi na upumbavu Wa kuwajadili viongozi Wa Upinzani hususan Chadema ila kiukweli mods msiyojitambua mnatua aibu na kinyaa.
Unalia lia nini
HatariHivi ni Mbowe alimkana Slaa au Slaa ndo alimkana Mbowe, CDM na ukawa kwa ujumla?
HahaHahahahahaaa mkuuu mtoa mada bhana hahahahahahaa be seious bhana watu wanakioenda cHama chao bhna sio vzr kuwadharau ukipenda mavi utaita mbolea hahahahahaha