Kuna ambalo hajalivunja kweli? Katiba, Maslahi ya Umma, Tunu ya umoja. Awe makini na vyombo ni kama majini vile

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Vyombo kazi yao na kiapo Chao ni kulinda katiba, Maslahi ya Umma, Tunu za Taifa.

Mpaka Sasa amevunja yote huenda vyombo vinashughulika nae bila yeye kujua.

1. Mamlaka ya nchi inatoka kwa wananchi. Kajipachika. Kavunja katiba.

2. Wameuawa maelfu, internet imezimwa, vikwazo vya kiuchumi n.k hakuna Maslahi ya Umma.

3. Chokochoko za Udini ni hatari kwa Tunu ya Taifa ya Umoja.

Unaweza ukahisi vyombo viko na wewe kumbe tayari wewe ni target yao bila kujali cheo chako.

Kila mtu awe makini.
 
ACHA KUOTA MCHANA.HVYO VYOMBO HAVILALI KUHAKIKISHA PAKO SHWARI NA BIMKUBWA YUKO SHWARI...ONDOA HILO WAZO.
 
Hivyo vyombo vyenyewe unavyo vipigia chapuo hapa vyote, ni takataka tu. 🚮
 
Back
Top Bottom