Kuna anayefahamu kuhusu Mainland Group Agro Process Co. Ltd, mikataba yao na mchakato wa usaili ukoje?

Kuna anayefahamu kuhusu Mainland Group Agro Process Co. Ltd, mikataba yao na mchakato wa usaili ukoje?

Mainland ya Veyula Dodoma hatari sana wale Wachina,wananyanyasa sana sana Watanzania na mikataba yao ni ya magumashi sana,mtanzania mwenye angalau mshahara mkubwa pale ni Betty Mkwasa(Mke wa Kocha Mkwasa) na msaidizi wake Dada mmoja bonge hivi wao ndio wana mishahara mikubwa,wengine wote ni magumashi tu vilakilaki kadhaa
Na pia kufukuza wafanyakazi ni dakika 0 tu wanakutimua hata kwa minnor issue
 
Habari?

Kuna mtu yeyote anaweza kunijuza kuhusu kampuni ya Mainland group Agro process co.tz mikataba yao ikoje na process zao za usaili
kazi gani , kazi yeyote nenda kafanye ila kama ni ya warehouse usoende kufanya kimbia kuna bib mchina kule kila wiki anafukuza watu kazi nyingine nenda ila kama ni warehouse kule hutoboi
 
kazi gani , kazi yeyote nenda kafanye ila kama ni ya warehouse usoende kufanya kimbia kuna bib mchina kule kila wiki anafukuza watu kazi nyingine nenda ila kama ni warehouse kule hut

kazi gani , kazi yeyote nenda kafanye ila kama ni ya warehouse usoende kufanya kimbia kuna bib mchina kule kila wiki anafukuza watu kazi nyingine nenda ila kama ni warehouse kule hutoboi
nakafahamu kale kabibi kana roho mbaya hatari,yaani nashangaa kwa nini huwa hakapigwi ngumi na wabongo,na kile ki GM nacho ni ******* tu
 
Back
Top Bottom