Kuna Anayejua Nyepesi Za Huyu Dada-SALAMA JABRY????

Bepali

Senior Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
180
Reaction score
62
Mara nyingi huwa najiuliza hivi huyu dada salama jabri wa BSS na Channel 5 je ni mdogo wake yule jamaa wa kuiga miziki wa zamani wa bongo Saleh Jabry au ni majina tu yanafanana??

Pili huwaga nashindwa kuelewa jinsia ya huyu dada mana yuko mwanamke lakini anaonekana kama vile ana hormone na genes zinazoshabihiana na za kiume!!! sasa nashindwa kuelewa je kuna mtu hata mmoja anayejua historia yake ya kimapenzi kuonyesha kama alishawahi kuwa na bwana? mana miaka mingi sana nyuma nilipataga nyepesi nyepesi kuwa alikuwa anajihusisha sana na kusaga na kukoboa unga sana na wanawake wenzake yeye akiwa ndiye mwenye mashine.

Tatu huwaga ananibohaga sana kwa majibu yake kwenye luninga mana anaonekana waziwazi ingawa sijapata bahati ya kukutana naye uso kwa uso kuwa si mtu mwenye kauli nzuri.Na kama ukizichunguza kauli zake anaonekana kana kwamba vile amekata tamaa ya kuishi kwa kukosa kitu fulani ambacho hana uwezo nacho kukipata hivyo anaona bora tukose wote tu na uamua kuwachinjia watu baharini!!! nasema hivi sababu kuna mama mmoja alikuwaga pale UDSM yule mama hakuwahi kupata mtoto mbaka kawa mzee kabisa,sasa yeye ikawa analipiza uchungu wake kwa kuwafukuzisha chuo watoto wa wenziwe hata kama haustahili kabisa lakini yeye atafanya manuva mbaka utafukuzwa tu sasa isije ikawa salama naye kaangukia kwenye tatizo hilo la kisaikolojia!!??

Nne anaonekana kabisa kuwa yeye anapenda kushirikiana na wanaume sana kuliko madada wenzake isije ikawa naye ana jinsia tata kama yule mkimbiaji SEMENYE wa South Africa?!!!

SASA Wapenzi kwa mwenye habari yeyote na anayemjua kwa undani tunaomba atujuze na wadau tuchangie kwa heshima bila kumkashfu wala kumtukana yeyote.
 
Ngoja wake magwiji wanaomfahamu ila kwa nini unataka kufahamu undani wake? Una ushahidi kuwa alikuwa anasaga? Maana hapa hatupo kuchafuliana majina!!!
 
Dogo kuchujwa BSS ndo umeona uje huku kumuharibia SALAMA ili kujipooza na machungu ya KUUKOSA MKWANJA???? Dogo utatoka tu bila kumuharibia JUDGE wako wa ukweee, we jipange upya tuuuu.

Salama is THE COOLEST BITC* EVERRRRRRRR!!!!!!!!!!!!! Mi simjui sanaaaa ila I DIG HER COMFIDENCE!!!!!!!!!!! ANAJIAMINI HAKUNAGAAAA!!!!!!!! She makes things happen!!!!!!!!! Profesionally she is the BEST FEMALE PRESENTER!!!!!!!!!!!

Hayo personal sijuiiiii!!!!!!!! Ila as long as SHE NEVER GIVES A FUC*K SHE WILL BE FINE!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 

Habari za jioni lara 1
 
Last edited by a moderator:

Sikujua kuwa wanawake wanaojiamini wana element za U-Lesibian..............
Kama ni hivyo basi huenda mwanangu King'asti ni Lesibian maana anavyonisumbua kwa ma confidence mpaka nakosa amani...........LOL
 
Last edited by a moderator:
Hii kazi ukiwapa wale wa magazeti ya udaku utapata majibu haraka.
 
hii ipeleke kwenye jukwaa lenu la ma-selebriti
 

Haa ukimuoonaaa kama ametoka kwa obama vile kumbe katokea mchambawimaa shemejiiiiiiiiiiiiiiiii................Salama brother wake ni salehe jabri mzee wa pepsi mirinda ***o na gari yangu 405 ukisikia naitwa wewe njoo ice ice baby....
 
Mie mzima banaaaaaa! NANGAAAA TU SHARUBU NYUMBANI SINA HELA JAPO YA 1 GLASS OF WINE!!!!!!!!! Tarehe dume hizi!!!!!!!!!! Napiga mihayo tuuuu.

Usipate tabu binti, hebu njoo pande hii ya SHELATONI nina chupa mbili za DOMPO...........
 
Hilo halipendezi kwa kuwa ni la kidhungu, labda nimwite BARIKIELI OBAMAELI

Nimekukubali kambi ya BO!!!! Nilikuchokoza tu nikajua lazima utanirushia kigongo!!! ELI mtu wa Mungu!! Safi sana ila sasa ile kitu ya Abortion na Gays kina ELI si tunasema ni najisi!!! A.k.a Dhambi? Ha ha ha!!! Mchokozi mimi!!
 
Habari za jioni lara 1

Sikujua kuwa wanawake wanaojiamini wana element za U-Lesibian..............
Kama ni hivyo basi huenda mwanangu King'asti ni Lesibian maana anavyonisumbua kwa ma confidence mpaka nakosa amani...........LOL

umesemaje baba? Hebu rudia kwa kidhungu afu tutajadili hiyo post hapo juu friday. You better be ready for me, you groomed me into this beast.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…