Mara nyingi huwa najiuliza hivi huyu dada salama jabri wa BSS na Channel 5 je ni mdogo wake yule jamaa wa kuiga miziki wa zamani wa bongo Saleh Jabry au ni majina tu yanafanana??
Pili huwaga nashindwa kuelewa jinsia ya huyu dada mana yuko mwanamke lakini anaonekana kama vile ana hormone na genes zinazoshabihiana na za kiume!!! sasa nashindwa kuelewa je kuna mtu hata mmoja anayejua historia yake ya kimapenzi kuonyesha kama alishawahi kuwa na bwana? mana miaka mingi sana nyuma nilipataga nyepesi nyepesi kuwa alikuwa anajihusisha sana na kusaga na kukoboa unga sana na wanawake wenzake yeye akiwa ndiye mwenye mashine.
Tatu huwaga ananibohaga sana kwa majibu yake kwenye luninga mana anaonekana waziwazi ingawa sijapata bahati ya kukutana naye uso kwa uso kuwa si mtu mwenye kauli nzuri.Na kama ukizichunguza kauli zake anaonekana kana kwamba vile amekata tamaa ya kuishi kwa kukosa kitu fulani ambacho hana uwezo nacho kukipata hivyo anaona bora tukose wote tu na uamua kuwachinjia watu baharini!!! nasema hivi sababu kuna mama mmoja alikuwaga pale UDSM yule mama hakuwahi kupata mtoto mbaka kawa mzee kabisa,sasa yeye ikawa analipiza uchungu wake kwa kuwafukuzisha chuo watoto wa wenziwe hata kama haustahili kabisa lakini yeye atafanya manuva mbaka utafukuzwa tu sasa isije ikawa salama naye kaangukia kwenye tatizo hilo la kisaikolojia!!??
Nne anaonekana kabisa kuwa yeye anapenda kushirikiana na wanaume sana kuliko madada wenzake isije ikawa naye ana jinsia tata kama yule mkimbiaji SEMENYE wa South Africa?!!!
SASA Wapenzi kwa mwenye habari yeyote na anayemjua kwa undani tunaomba atujuze na wadau tuchangie kwa heshima bila kumkashfu wala kumtukana yeyote.