Mkuu sijajua Unachimba haya yote kwa lengo gani lakini ngoja nikusaidie machache:
*Kwenye masuala ya DJ, kutangaza na uchambuzi wa muziki ana uwezo mkubwa sana na wala habahatishi. Kifupi katika hili ana kipaji kabisa.
*Katika maisha ya kawaida SALAMA ni mtu wa kujichanganya sana, mcheshi sana, hana maringo kabisa, muugwana sana, anakunywa pombe kiasi na wakati mwingine anavuta sigara hasa akiwa Club.
*Ni kweli ana maisha na mitindo ya kiume kabisa kama kuvaa, kuongea, kujichanganya na wanaume zaidi tena kisela!!
*Salama hajaolewa, hana mchumba wala boy friend na haijawahi kusikika kuwa ana mwanaume au kuwa na mpango wa kuolewa. May be she is still virgin!!
*Zipo tetesi za uhakika kuwa Salama ana mienendo ya kisagaji kwa mfano ilishawahi kusemekana kuwa alikuwa anamchukua Raha P(Msanii wa zamani wa Bongo fleva), aliwahi pia kuonekana viwanja akichukua malaya wanaojiuza, alishawahi kuwa na mgongano wa kimaslahi na Ray C, pia iliwahi kuwa na company na wanawake wasagaji kama Regina M..
*Kwenye masuala ya kazi ni mtu muwazi, mkweli na makini sana. Hapendelei na wala haogopi kumwambia mtu ukweli. kifupi sio mnafiki wala mwoga.
*Mwisho kabisa Salama hana mshipa wa aibu na matusi ni sehemu ya lugha yake ya kawaida.