Kuna anayemuelewa Mtangazaji Maulid Kitenge na 'Interview' yake EFM akiwa na Gerald Hando?

Nimeacha kusikiliza radio muda sana na kuangalia Tv hivi vitu sinaga time navyo. Weeknd ndo utanikuta nacheki mpira
 
U-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Sijasema ni malaika mkuu, nimesema tu ni TissssS
 
U-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Ni walinzi tuu kama Walinzi wengine
 
Reactions: Qwy
Dah jamaa anakismat leo hujamporomoshea matusi ntu au notebook yako ya misamiati ya matusi hujatembea nayo..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
U-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Ni walinzi tuu kama
Sisi TISS tunakuchora tu.....endelea
Kawatishe wajinga wenzio
 
Siku moja mzee alikwenda marekani na china.
Basi kila chochote kitakacho fanyika kiwe zuri au baya hata kwambia “yani ukiwa kule au alivokuwa kule….”
Tusilaumu
 
We jamaa hivi mbona una ujinga jingaaa mwingiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…