Mpaka hapa umeshamuelewaKwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu.
Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd,zote Mimi ni Mtangazaji mkubwa sana Tanzania. sijaona bado wa Kunirithi Kiutangazaji wa Michezo, sina nina Watoto Wanne na Upuuzi mwingine mwingi na Ushamba lukuki.
Naomba aliyemuelewa anidadavulie pia.
Wengine Radio tunapumzika kusikiliza pale tunapokuwa tumelala tu.Dakika 50+ unasikiliza Redio! Shemeji anakulea hovyo sana, bure kabisa..!
Duuuuh..... yan Kitenge alikuwa wa kuajiliwa Aljazeera...? Me mbona sioni umaalum wake katika tasnia, au n sikio langu tu ndilo linamsikia vbaya...?Mtangazaji kama huyu,hawezi kuajiriwa nje ya mipaka ya Bongo.
Ana jina kubwa lakini,Elimu yake haiwezi kumfanya awe kama Raly king wa CNN,au Jeff Koinage wa Kenya,au hata Hussein Mohamend wa Citizen.
Huyu kitenge ilibidi aajiriwe hata na Aljazeera kwenye kipindi Cha michezo,lakini sidhani,amekalia story za kimanzichana, mwanakwelekwe, Tandale, Kawe, local issues,ambazo hazivuki mipaka.
Nimecheka kinoma 😂😂Dah jamaa anakismat leo hujamporomoshea matusi ntu au notebook yako ya misamiati ya matusi hujatembea nayo..