GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.
Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.
Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?
au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?
Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.
Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.
Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.