Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.

Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.

Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?

au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?

Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.

Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.

Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.
Charismatic fella, most talented kwenye ubora wako, hivi huwa unapataga wapi muda wa kufatilia maisha ya mtu, na unajua mpka salimu kikeke kachakata mbususu gani? Duh we ni hatari.
 
Huyu banamdogo alianza nyodo za kishamba hata kabla hajastaafu kule.

Pale yule mdada fulani alipopata tunu ni kama alifurahi kupitiliza huyu banamdogo.

Ukimwangalia kwa utulivu ni kama kuna kitu hakipo sawa kwake.

Nina doubt kama naye siyo ile timu ya maulidi.
 
Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.

Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.

Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?

au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?

Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.

Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.

Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.
Ulikwisha maliza kuushauri uokoo wenu mtoke hapo mlipo mfike angalau kiwango cha IST kama si bodaboda.
Achana na ufuatiliaji wa maisha ya watu wasiokuhusu ili mradi uonekane unawafahamu watu mashuhuri, kwa Mkono tulishushua tukakufukuza.
 
Kuna Watu wapo level nyingine za maisha... mfano ukimuona MO/ BBakhresA sehemu mbalimbali utasema anatanga tanga?
Watu wamesha invest na wameajiri watu ku operate biashara kwenye Makampuni yao..
Unachokifanya ni Ku manage tu Biashara..
Sikuhizi kwenye dunia ya Ki -digitali sio lazima u manage biashara physically...
 
Hawa hawa tunawaona kama wehu lakini wanatengeneza followers baadae pesa inaingia, kina Mwijaku tunawaona kama wehu fulani hivi lakini kumbe wako kazini na wako vizuri tu. nchi hii ukitaka kujifanya mzee wa busara hutoboi wewe jitoe ufahamu kidogo tu mambo yako yataenda. Kubwa kuliko yote maisha kuchagua, kuna watu hawapendi kujipost na wako wanapenda hapa wote wako sawa tu, wanafanya yanayowapendeza.
 
Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.

Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.

Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?

au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?

Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.

Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.

Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.
Personal life ya mtu unaitakia nini?
Akila bata Tabata au uwanja wa fisi ,inatuhusu nini?
Grow up man!
 
Hivi kama amechukua likizo ya miezi sita ya mapumziko baada ya miaka 20 Nje ya Nchi inakuhusu nini?
Naona ni matumizi mabaya ya muda na akili kukaa hapa kujadili maisha ya mtu aliyetoboa maisha tayari...
 
Nilikuwa kanisani na nimetoka kwa Salim kafanyeje au unajifanya hujui

Back
Top Bottom