Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

Ila watanzania wanapenda sana kuwapangia watu maisha haki tena sasa mizunguko yangu wewe inakuhusu nini
 
Nahisi labda yupo kwenye misheni fulani yenye fursa ndani yake.
Mimi nimeanza kuacha kumfuatilia kwani anaelekea kuboa soonest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…