Kuna anayetumia GB WhatsApp anipe mrejesho?

Kuna anayetumia GB WhatsApp anipe mrejesho?

whatsap badala ya fungia fungia, wangeamua kupiga hela, kwamba kuwe na version 2, hii ya kawaida na premium, premium iwe na features zote kama za gb wasap na iwe ni ya kulipia, ila naona badala ya kunufaika na ubunifu wa wazee wa gb wao wanaleta wivu na kupiga ban... kama ni kitu watu wanapenda basi walipie kidogo iwe win win situation
Wabongo hawawezi kulipia
 
Utafikiwa tu, hii operesheni haimuachi mtu. Nami nilikuwa natumia vizuri tu mpala jana nilipokutana na mauzauza.
Mimi kitambo sana nilishafikiwa. Gb ilikuwa poa sana niliwanyanyasa wasio jua
 
Back
Top Bottom