Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia nn? Kusifia tu na kuwa wapole ama watathubutu ata kukemea vitendo vya Naibu Msajili wa vyama vya siasa Ndugu Nyahoza?
Ndugu Nyahoza ni mtu alielalamikiwa sana na Mwenyekiti wa NCCR kuwa yeye ndiye aliepanga mipango yote yakumng'oa James Mbatia na kuwalinda wajumbe kufanya vikao licha ya kuwa na zuia la kimahakama.
Sina hakika, ila kwa jinsi vilivyo vyama vyetu vya siasa, Kesho watakuwa wanasema tu unaupiga mwingi kisha wataambiwa fanyen mikutano then watasherehekea alafu watarudi baada ya miezi kadhaa wataanza kuilalamikia ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kuwa inajindesha kwa upendeleo.