Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!


angalia matunda ya kula wakati huu unataka kupunguza kilo mi nilikua nakula chakula kidogo mno kuliko kuacha kula mfano ukila ndizi maembe apo ujafanya kitu matunda ya kula ni water melon [emoji525] pineapple [emoji531] tango apple [emoji520] nk we unatakiwa kuangalia calories tu kwenye matunda ila nikushauri tu punguza chakula mfano kama wali kula lakin weka kwenye kisosi yan kidogo mno ugal tonge 5 yan uguse guse tu utapungua


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Sawa mkuu nimekupata maelezo yako nitayafanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…