Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
futi 6.5 uref,kilo 62 boss mara ya mwisho kupima ni last two monthsOkey hapo imekaa poa sana ila vipi inakusaidia kubalance uzito kweli.... ebu nijuze una uzito unaoendana na urefu wako BMI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawaida hiyo bossDah uko mbali nakuona km supertall vileeee mkuu Hahahaha
Kwani unaogopa kifoHahaha inaonekana kama tumeingiliana sehem sio kwa kunitakia kifoooo ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahha mbinguni tu ndio unaogopa kutangulia , kwingine mbina unaoenda uwe wa kwanza kutangulia,Kibaya kutangulia tuu mzee baba unadhan nani anapenda kutangulia [emoji23]
Hahahaha hhhaa sawa basi ishi milele dunianiWeeee vya dunian vitam bhanaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 basi mkuu,yaishe.[emoji2]kuna namna moja tu ya kutransfer mkuu kupitia naniiii zetuu zileeee nadhan umeelewa we mtu mzima hahahahah tena zangu zitakufanya uwe na kg zakutoshaaaaa[emoji4]
Usitoleee mfano mwezi mfukuto wa ramadhani aisee watu wanakula Sana halafu mchana wanazuga zuga kulala tuu misikitini. Usiku wanafukia kunakotukuka misosi ya Bure Bure wasoifanyia kazi!Hakuna shida yoyote, mbona mwezi wa Ramadhani watu wanafunga mwez na wapo fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha, kumbe huwa ni danganya toto tu.Usitoleee mfano mwezi mfukuto wa ramadhani aisee watu wanakula Sana halafu mchana wanazuga zuga kulala tuu misikitini. Usiku wanafukia kunakotukuka misosi ya Bure Bure wasoifanyia kazi!
Maisha rahisi sana.... Watu wanafunga mpaka gambe.Yaani wewe ni mimi full, sema mimi huwa asbh muda wa saa nne mpk 5 ndio naweza pata matunda kidogo na mchana hivyo hivyo jioni naweza kula mchemsho sana sana wa samaki na ndizi moja kabla ya saa 2, hiyo ni J3 mpk Ijumaa mchana. jioni ni gambe mpk tena J3
Muda mrefu kiasi... Miezi kama 4 hivi sikuwa na haraka
Kati ya december to january kilo zilikua zinapungua kwa kasi nikastopisha kusherehekea kumaliza mwaka.... Now nimerudi kumalizia kilo sita zilizobaki...Hahahahah imebid nicheke mkuu dah na bado ukapunguza kg12 inamana hapo ungezingatia kwel kwel kukaza buti ungepunguza zaid ya hizo mkuu
Wazo zuri ila matango yapo poa sanaaaMatunda yana sukari nyingi tuu; unawezafanya hivyo na usipungue.
Jaribu kuacha kabisa vyakula vya wanga na sukari na badala yake piga menu ya mboga mboga na nyama nyama tuu