Hiyo ni diet nzuri sana na unapungua vyema huku ukipata vitamini za kutosha. Nimepunguza kilo 12 kwa kufanya hivyo.
Ila mimi ni mpenzi wa nyama sana so huwa napata na mshikaki 1 au 2 na sometime kipande cha kuku kwa mchana..
Ratiba huwa hivi.
1. Asubuhi chai ya rangi au mchaichai au tangawizi na iliki nashushia na slace 4 na brown bread au mihogo.
2. Mchana matunda mchanganyiko na nyama mishikaki miwili au robo kuku.
3. Usiku matunda tupu.
4. Asubuhi naamka saa 11 mazoezi then kazini...
Ratiba hii ni kwa jumatatu to ijumaa weekend ni mwendo wa gambe tu...
Sent using
Jamii Forums mobile app