Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!

Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!

Omba usiugue mkuu,Kuna Dada tulikuwa tunafanya naye mazoezi gum, alitumia matunda na mboga na maji. Alipitiwa na malaria kidogo, alishiia kulazwa kwa mikocheni hospitali,kila chakula ni muhimu maishani mwetu. Tatizo ni quantity na mda unaokitumia kama metabolism ipo juu au chini.pia miili ya watu ina respond tofauti na hizo diet

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni tofauti na wale wenzetu wa stone age ?
 
Hiyo ni diet nzuri sana na unapungua vyema huku ukipata vitamini za kutosha. Nimepunguza kilo 12 kwa kufanya hivyo.
Ila mimi ni mpenzi wa nyama sana so huwa napata na mshikaki 1 au 2 na sometime kipande cha kuku kwa mchana..

Ratiba huwa hivi.
1. Asubuhi chai ya rangi au mchaichai au tangawizi na iliki nashushia na slace 4 na brown bread au mihogo.
2. Mchana matunda mchanganyiko na nyama mishikaki miwili au robo kuku.
3. Usiku matunda tupu.
4. Asubuhi naamka saa 11 mazoezi then kazini...
Ratiba hii ni kwa jumatatu to ijumaa weekend ni mwendo wa gambe tu...



Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahah imebid nicheke mkuu dah na bado ukapunguza kg12 inamana hapo ungezingatia kwel kwel kukaza buti ungepunguza zaid ya hizo mkuu
 
Kama hayo matunda yanakuba balanced diet basi hakuna tatizo...Zingatia kula matunda yenye kazi hizo chini:-

1.Kujenga Mwili
2.Kulinda mwili.
3.Kukupa nguvu na joto mwilini.
 
Kama hayo matunda yanakuba balanced diet basi hakuna tatizo...Zingatia kula matunda yenye kazi hizo chini:-

1.Kujenga Mwili
2.Kulinda mwili.
3.Kukupa nguvu na joto mwilini.

Unaweza kunisaidia pia mfano wa matunda au kundi la matunda mkuu km hutojali itanisaidia san ktk safr yng ya kupunguza uzito
 
Acheni kurudisha evolution nyuma, mmeanza kuwa monkeys? kuleni vyakula vya wanadamu, tulishatoka huko

[emoji23][emoji23][emoji23]bas mi narud kwa mtindo huu ili kurudisha uzito wangu wa awali....
 
Hello wadau... Je ni kweli kwa kushindia kula matunda na maji bila kula chakula chochote, kwa mwezi mzima kunaweza kushusha uzito na kupungua unene? Na je kutakua na madhara gani labda yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivi? Itakua vema kwa watalaam wakitujuza hili tusiojua.
Inategemea unakulaje

Super hero daddy
 
Inategemea unakulaje

Super hero daddy

Mfano asubuhi napiga maziwa yang fresh ya barid bila sukari then hapo mwendo wa glass za maji kila baada ya muda en mchana napiga sahan yang ya matunda mchanganyiko en maji ya kutosha kila muda kupita then usiku pia matunda mchnganyiko ila pia walau kwa week hata mara 2 supu ya sato au sangara.... hapa itakaaje mkuu?
 
Back
Top Bottom