Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wanaweweseka.Hivi Bavicha mnamatatizo gani kwani sasa tuvunje mahusiano ili iweje?
Au umetumwa Mkuu
Hardworking pays!!!
Kwani kuvunja siyo msimamo?? Tuvunje tu kila mtu akae kwake!!Kijana wangu ikibidi unavunja lakini la msingi ni kuwa na msimamo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndiyo mabeberu wenyewe. Wao kila mara wanataka tufuate kila jambo lao na bado hawaridhiki. Ni wakoloni mambo leo hawa!!Hivi Bavicha mnamatatizo gani kwani sasa tuvunje mahusiano ili iweje?
Au umetumwa Mkuu
Yes tuvunje hata leo. But can we live without them?Kwani kuvunja siyo msimamo?? Tuvunje tu kila mtu akae kwake!!
Hilo zoba sio la bavicha mkuu...Hivi Bavicha mnamatatizo gani kwani sasa tuvunje mahusiano ili iweje?
Au umetumwa Mkuu
Hardworking pays!!!
Hivi bado bajeti yetu inawategemea wao kwa 40%?Yes tuvunje hata leo. But can we live without them?
Tunaweza jitegemea ?
For the record bado tunapokea misaada yao.
My point is tuvunje pale ambapo misaada yao ilikuwa inasaidiwa tuwe na uwezo wa kuendesha bila misaada yao.
Inategemea ni msoyonwa mda gani!!! Sio nile msoto mpaka kufa kwangu kisa tumevunja mkataba na mabeberu, huo utakuwa ni usenge...Magufuri anaweza kuvunja uhusiano na yeyote, shida ni nyinyi mtaweza kuvumilia msoto!