Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Zoba au Zebe??Hilo zoba sio la bavicha mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zoba au Zebe??Hilo zoba sio la bavicha mkuu...
Yeye anaweza kuvumilia msoto? Corona tu imempa likizo siku 50 itakuwa mbinyo wa kukosa njuluku mfukoni? Au kwa vile yeye analishwa bure tutaobinywa ni sisi kajambanani?Magufuri anaweza kuvunja uhusiano na yeyote, shida ni nyinyi mtaweza kuvumilia msoto!
Sasa hapo ukizuia watu kuvuta bangi hadharani utakuwa umeheshimu vipi fikra za wengine??Tuheshimu fikra za kila mmoja wetu lakini tuendelee kutoruhusu bangi zivutwe hadharani!
Dah!.. Sasa tukivunja itakuwa vipi kuhusu madeni tunayodaiwa na hizo taasisi? Je tugome kuwalipa?Kwani kuvunja siyo msimamo?? Tuvunje tu kila mtu akae kwake!!
Kwani tunajimiliki kama kwa asilimia ngapi hivi??Bado hatuna nguvu ya kujimiliki kwa asilimia zote...
Tugome kuweka mfano kwa nchi zingine duniani kwamba mabeberu inawezekana kugomewa!!Dah!.. Sasa tukivunja itakuwa vipi kuhusu madeni tunayodaiwa na hizo taasisi? Je tugome kuwalipa?
Kumbe kama ni kwa 40% basi tuachane nao tu. Maana bila ya kuachana nao nchi yetu itaendelea kugawanyika kati ya Vibaraka wa mabeberu na wazalendo. Nadhani tukiachana nao Tanzania itabaki na wazalendo tu wanaopambana kwa manufaa ya nchi yao!!
Kumbe ni watu wazuri. Tuendelee nao.Kuvunja inawezekana lakini je tunaweza kutoboa?
Huko nyuma Mwl.Nyerere Nyerere aliwahi kuvunja uhusiano na Marekani sababu ya Rhodesia enzi za Mlowezi Ian Smith lakini haikuleta mabadiriko yoyote kwa USA haikubadirisha sera yake juu Rhodesia. Akarudisha baada ya muda mfupi.
Ila nakumbuka huyo Raisi Dr.Mwl.Julius Nyerere aliingia mgogoro na IMF, na Word Bank lakini hakuvunja.
Sababu wao ndio guarantee au ni reference ya sisi kukopa hata mabenki ya nchi nyingine.
Mara nyingi wamebadirisha madeni yetu kuwa misaada au wamefuta madeni yetu kabisa.
Kabla ya kujiuliza hilo SWALI, weka kwanza list ya mikopo na misaada tunayopewa na inakotoka. usisahau huu wa juzi wa kupambana na COVID-19... THEN BAADA YA HAPO CHECK HIYO LIST NS KAMA HAO ULIOWATAJA WAPO, BADI JUA MADHARA YAKE NI MAKUBWA.. utakosa yote yaliyosababisha tupewe mikopo na misaadaHivi kuna jambo lolote baya litatokea kama Tanzania tukiamua kuvunja uhusiano na Shirika la fedha Ulimwenguni (IMF), Benki ya Dunia (WB), au nchi ya Marekani? Badala ya mjadala wa kuendelea ama kutokuendelea kuwa na uhusiano na taasisi hizo ama nchi ya Marekani kwa nini kama taifa tusiamue uhusiano ufe?
Maana ni kama kila wakati inakuwa ni mjadala wa nani kibaraka ama mzalendo kuelekea taasisi hizo na nchi ya Marekani. Hivi kuna ulazima wa kuwa na Mahusiano nao?
Ni wakati wa kusimama na kutembea kwa miguu yetu wenyewe!!
Hakuna.Hivi kuna jambo lolote baya litatokea kama Tanzania tukiamua kuvunja uhusiano na Shirika la fedha Ulimwenguni (IMF), Benki ya Dunia (WB), au nchi ya Marekani? Badala ya mjadala wa kuendelea ama kutokuendelea kuwa na uhusiano na taasisi hizo ama nchi ya Marekani kwa nini kama taifa tusiamue uhusiano ufe?
Maana ni kama kila wakati inakuwa ni mjadala wa nani kibaraka ama mzalendo kuelekea taasisi hizo na nchi ya Marekani. Hivi kuna ulazima wa kuwa na Mahusiano nao?
Ni wakati wa kusimama na kutembea kwa miguu yetu wenyewe!!
Kipimo cha "kuleta mabadiliko" kukoje mkuu sblandes'?Huko nyuma Mwl.Nyerere Nyerere aliwahi kuvunja uhusiano na Marekani sababu ya Rhodesia enzi za Mlowezi Ian Smith lakini haikuleta mabadiriko yoyote kwa USA haikubadirisha sera yake juu Rhodesia. Akarudisha baada ya muda mfupi.