Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
mbona nilisikia popobawa alishakufaga?Popobawa akija atakuwa na kazi rahisi sana mkuu!
Watu wa pwani hamsomeki ! Hahaaa
mbona nilisikia popobawa alishakufaga?
Popobawa wanapenda sana nyuzi km hizi.Wasalaam,
Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera yaani full joto siwezi kabisa.
Good enough silali na mtu (shemeji yenu tunaonana weekend tu) but am so eager to know kuna athari zozote kiafya, or namna nyingine? Suala la usiku huenda itatokea emergency sijalitilia maanani hapo.
Am a gentleman so far!
toka Sheikh Yahya popobawa (incubus)sijamsikia tena.mbona nilisikia popobawa alishakufaga?
kulala uchi wa mnyama? sikushauri. yakitokea majanga ghafla utatokaje nje. au mf wakavamia wazee wa mijegeja unafkiri wakikosa hela hapo na upo uchi wa mnyama watachukua hatua gani?
Wewe ni wa kiume halafu unajiita SUGAR!? Haya mkuu , no wonder unapenda kulala uchi.Wasalaam,
Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera yaani full joto siwezi kabisa.
Good enough silali na mtu (shemeji yenu tunaonana weekend tu) but am so eager to know kuna athari zozote kiafya, or namna nyingine? Suala la usiku huenda itatokea emergency sijalitilia maanani hapo.
Am a gentleman so far!
Mkuu, mtoa mada Nadhani anazungumzia uchi wake yeye mwenyewe na sio uchi wa mnyama.
maswali au umeunganisha dots Mkuu!?ID yako na ulichoandika napata maswali yasiyo na majibu.
ama kweli kiswahili kigumu[/QUOTE
Kumbuka kuwa mtoa mada anaitwa sukari na analala uchi wake mwenyewe na shuka jepesi kwa mbaalii
Hahahaha...jf katika ubora wake!!!Mkuu, mtoa mada Nadhani anazungumzia uchi wake yeye mwenyewe na sio uchi wa mnyama.
Ahaa ahaaa daaahMkuu, mtoa mada Nadhani anazungumzia uchi wake yeye mwenyewe na sio uchi wa mnyama.
So yule mzee alikuwa anajigeuza kuwa popobawa??toka Sheikh Yahya popobawa (incubus)sijamsikia tena.