Kuna athari zozote za kiafya ninaweza kupata kwa kulala utupu

Kuna athari zozote za kiafya ninaweza kupata kwa kulala utupu

Yani na hii nayo ni ya kuianzishia thredi!! Ivi watato wako watakua bright darasani kweli!
nimesikia ubright wa watoto hutokana na makalio makubwa ya mama zao kama thread moja humu ilivoelezea!! ajitahidi mpate mama watoto wa hivyo bas
 
Duh! Wabongo kwa kashifa mko vizuri! Kwa hiyo mtu akijiita sukari yenu ni shoga? Mbona mnakua too judgemental ilihali wengi wenu mnafanya hayo mambo ya kishoga kuliko hilo la kulala mtupu.

Mnajua maana ya sukari yenu? Na kwa nini niliitwa hivyo?

After all naishi peke yangu, kuna ubaya gani mi kulala ninavyojisikia? Hata ukivaa jeans popobawa akitaka kukupitia atapita tu. Huna cha kumzuia wewe. Mnahitaji maombi sio bure na inavyoonekana wengi wenu humu mnashiriki kale kamchezo ka sodoma.

Anyway, thanks all for your comments. I have learned something.

Sukari Yenu
Hayaaa mmeshaliharibu kashtuka, tuliokuwa tunajiandaa kuzoza ndio basi tena. Saaasa huniiti tukalala wote mimi ni muathirika wa bomoabomoa wala sina mambo hayo.
 
We endelea kulala uchi tu nije nikugegede
 
wakikuvamia vibaka so far wataanza na nukta kwanza
Wasalaam,

Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera yaani full joto siwezi kabisa.

Good enough silali na mtu (shemeji yenu tunaonana weekend tu) but am so eager to know kuna athari zozote kiafya or namna nyingine? Suala la usiku huenda itatokea emergency sijalitilia maanani hapo.

Am a gentleman so far!
 
Mashoga ni ma janja kujitangaza biashara zao yani huwezi kuwashtukizia hadi umize sana kichwa!!!

1)Jamaa anajiita Sugar

2)Analala akiwa mtupu (uchi)

3Anajifunika shuka jepesi (kanga moja ndembe ndembe)

4)Halali na mtu

Mwanaume inakuwa na ujasiri wa kusimama mbele ya kadamnasi na kuongea maneno kama hayo!!
Kwa hiyo wewe na kichwa chako chote kuwaza na kuwazua ndio umefikia huku? Kweli tuna kazi sana ili tuendelee nchi hii watu wanawaza ngono tu. Ni upumbavu na ujinga ulikithiri.
 
Kwa hiyo wewe na kichwa chako chote kuwaza na kuwazua ndio umefikia huku? Kweli tuna kazi sana ili tuendelee nchi hii watu wanawaza ngono tu. Ni upumbavu na ujinga ulikithiri.
Na wewe dume zima utajiitaje "sukari yenu"?...Au ndio unataka ulambwe hiyo sukari!!!?.
 
Kwa hiyo wewe na kichwa chako chote kuwaza na kuwazua ndio umefikia huku? Kweli tuna kazi sana ili tuendelee nchi hii watu wanawaza ngono tu. Ni upumbavu na ujinga ulikithiri.
Acha ujinga wewe,unamaanisha nini kusema hatutoendelea watu wanawaza ngono tu?bwege kweli,wewe una nini unayewaza maendeleo?au ukiona tu post unahisi lazima u'comment?
Bogas
 
Wasalaam,

Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera yaani full joto siwezi kabisa.

Good enough silali na mtu (shemeji yenu tunaonana weekend tu) but am so eager to know kuna athari zozote kiafya or namna nyingine? Suala la usiku huenda itatokea emergency sijalitilia maanani hapo.

Am a gentleman so far!
upo vizuri sana sukari ila weka na KY Jerry pembeni ya kitanda ili wale jamaa wa kazi wakija wasisumbuke sana
 
Acha hyo tabia sio nzuri.utakuja kuamka umepasuliwa mayai
 
Back
Top Bottom