Duh! Wabongo kwa kashifa mko vizuri! Kwa hiyo mtu akijiita sukari yenu ni shoga? Mbona mnakua too judgemental ilihali wengi wenu mnafanya hayo mambo ya kishoga kuliko hilo la kulala mtupu.
Mnajua maana ya sukari yenu? Na kwa nini niliitwa hivyo?
After all naishi peke yangu, kuna ubaya gani mi kulala ninavyojisikia? Hata ukivaa jeans popobawa akitaka kukupitia atapita tu. Huna cha kumzuia wewe. Mnahitaji maombi sio bure na inavyoonekana wengi wenu humu mnashiriki kale kamchezo ka sodoma.
Anyway, thanks all for your comments. I have learned something.
Sukari Yenu