The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Da hopeless kabisaIle ya kuweka mamba pembeni na nyimbo ya nywinywi hua zinaniua sana π
Wakenya wanatutania sana huko mitandaoni, anatoa mamba anaweka wamama.Ile ya kuweka mamba pembeni na nyimbo ya nywinywinywi hua zinaniua sana π
ππππππππGT.
Kwamba nyakati kama hizi za digital age na hii ndo ahadi ya mgombea aha ha π π π π€£ . Ivi tutakuja kurusha satellite kweli.
View attachment 3494208
Anatia aibu.GT.
Kwamba nyakati kama hizi za digital age na hii ndo ahadi ya mgombea aha ha π π π π€£ . Ivi tutakuja kurusha satellite kweli.
View attachment 3494208
Kwani wamama wenyewe wanasemaje hapo kwetu?Wakenya wanatutania sana huko mitandaoni, anatoa mamba anaweka wamama.
Chaiππππππππ
Wamepiga kelele kumshangilia kwa hiyo kauli yakeKwani wamama wenyewe wanasemaje hapo kwetu?
Unao uhakika isiwe nawe unamchomesha kwa kukosa tu manifaa wayapatayo wengineWamepiga kelele kumshangilia kwa hiyo kauli yake
Watawala dhalimu wanajichanganya sana! Tunachagua mtu wa kututumikia; hatuchagui mtu awe mungumtu wetu.Uozo ni mwingi sana, ila basi tu imeandikwa usimnenee mabaya mkuu wa watu wako.
Acha tu kifungo cha wiki nzima kimefanya nimechelewa kujibu coment yako ndugu, ninahasira + uchungu wa kufiwa aiseee!.Watawala dhalimu wanajichanganya sana! Tunachagua mtu wa kututumikia; hatuchagui mtu awe mungumtu wetu.
Pole sana, mkuu. Kwa kweli hawa majambazi wanatupitisha kwenye wakati mgumu sana. Naamini sasa siku zao zinahesabika!Acha tu kifungo cha wiki nzima kimefanya nimechelewa kujibu coment yako ndugu, ninahasira + uchungu wa kufiwa aiseee!.
Asante sana mkuu, na wao watakufa tu bila shaka.Pole sana, mkuu. Kwa kweli hawa majambazi wanatupitisha kwenye wakati mgumu sana. Naamini sasa siku zao zinahesabika!