Kuna baadhi ya mambo yameshakuwa kama sheria....

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,428
Maisha ya siku hizi bwana.. Yamefanya baadhi ya mambo yamekuwa kama sheria...hebu ona..


Chai na chapati mbili...

Kulala peke yako na kujambia kwenye shuka...

Kutembea na chaji au usb....

Kama hutaki kumkopesha mtu unamtaja tu magufuli...



Tuongezee mengine sasa....
 
Kutoa mada ya kijinga utaambiwa unavuta bang.! bang.!
 
Hiyo kutembea na charger au usb nimecheka kama chizi!

Kuna mtu namfahamu kila mahali unamkuta kashikilia simu yake na charger kaning'iniza shingoni na earphones zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kuleta story za kijinga kuwa cku hizi kuna baadhi ya wanawake wanazibuliwa sewage system!
 
1.Uku Green city saiz kuto ingia bafun ni sheria
2.Maandaz 2/3 na chai nadhan hi ni kw nchi nzma
3.Kuanza kufua nguo nyeupe kabla ya zngne
4.Kitanda kupangw ukutan
5.Kupika mbogakabla y ugali
6.Wazee kupewa mapaja ya kuku,nyama nyingi/samak mzma huku watot mkiambulia vduchu
7.Ni sheria Wan JF kuitana wakuu

Ni hayo tu wakuuπŸƒ
 
Wanawake kujipimia wakati wa majambo (kuwa juu)
Wanawake wazee kubeba viben10 ili viwanyonye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…