Kuna baadhi ya members wakichangia tu uzi wako unabuma sijui wana nyota gani?!

Kuna baadhi ya members wakichangia tu uzi wako unabuma sijui wana nyota gani?!

Hao wana asili ya polisi na uzi una asili ya maandamano hapo lazima ubume tu
 
Sijui ni kwenye Thread zangu tu au na Zenu pia?

Yaani hata Thread iwe Nzuri na Inatrend Vizuri kuna baadhi ya Members yaani wakichangia tu hapohapo na Uzi una Buma.

Yaani Uzi unakosa wachangiaji na hata Viewers wanapungua sijui huwa wana nguvu gani ya Kubumisha Uzi namna hiyo.

Kama kuna likes zilikua zinatoka Wakishachangia tu hawa jamaa Likes zinakata Ghafla sijui huwa wanaushawishi gani hawa Members.
Hahahahahaaaa
 
Back
Top Bottom