Kuna baadhi ya nchi duniani washaufuta ugonjwa wa maralia, sisi tumeshindwa hata kufuta kelele tu mtaani

Kuna baadhi ya nchi duniani washaufuta ugonjwa wa maralia, sisi tumeshindwa hata kufuta kelele tu mtaani

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kusema ukweli!
Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu!

Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria!
Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa?

Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu inaitwa U.T.I inatesa watu!
Serikali wala haijawahi kutueleza chimbuko la UTI limeingiaje nchini kutokea wapi!

Inakuwaje zaman enzi hizo tulikuwa wachafu wa kutupwa hatuna vyoo vya kutosha, tunachambia majani na mchanga, wasiotahiriwa walikuwa 80%, ya waume na wake walikaa na utoko na ukiriguru makalioni siku 3 bila kuoga lakini magonjwa ya ajabu kama haya hayakuwepo:

lakini sahivi usafi kila kona,tishu kama zote, na tunakunywa maji ya chupa na dawasa lakini UTI na malaria kila kona haipoi!

Je tatizo ni nn? Nani anafaidika na haya ma antibiotic na vyandarua vinavyoletwa kutoka inje?

Wakati mwingine serikali muangalie sana hii misaada mnayochukua!

Huenda hiyo misaada ndo chanzo cha haya inakuja na mabalaa!

Siamini kama kweli tumeshindwa kutokomeza haya magonjwa!

Haya magonjwa ni janga linaua sana figo siku hizi, P2 zinaharibu vizazi na kuongeza ugumba wizara ya afya wala hawana mkakati wowote kutomeza magonjwa sugu!
 
Halafu tukisema wanafunzi wa vyuo huwa wanafanya nini vyuoni, tunafokewa na watoto

Kuna chanjo ilitoka 2019 ya kuzuia malaria
Watoto 1.5m kwenye nchi 3 Kenya, Ghana na Malawi ndio wanufaika wa mwanzo na waliokubali hizo chanjo

Zinasaidia kwa 75% na imepunguza sana vifo na kulazwa watoto hospital

Vijana mjitahidi kwani hata wazungu wanafanya utafiti zaidi ya miaka 50 na wamefanikiwa sasa

Vifo ni zaidi ya laki 6 kwa mwaka duniani
Gate foundation amefadhili hizi dawa kupitia GSK
 
Watu wanaumwa magonjwa ya zinaa wanasingizia UTI
 
Hapo ndipo lile neno wapendalo watu kulitumia "mtoko" silipendi.Mtoko?Ndiyo nini?
Aroooh kuna utoko halafu kuna masalia ya matakoni baada ya kujisaidia yanaitwa Ityente au ukiriguru zamani watu walikaaa nayo hata siku tatu wiki fresh tu na hswakuumwa UTI kijinga
 
Aroooh kuna utoko halafu kuna masalia ya matakoni baada ya kujisaidia yanaitwa Ityente au ukiriguru zamani watu walikaaa nayo hata siku tatu wiki fresh tu na hswakuumwa UTI kijinga
Ntyentye!Kinyamwezi kitupu!Bila kumsahau ndege aina ya kantyentye! 😂😂😂
 
Tangu Uhuru 1961 Taifa Kama Taifa tulichofanikiwa ni kupunguza idadi ya watoto kutoka makamasi na udenda kwa hili Taifa Kama Taifa tumefanikiwa now days mjini na vijijini vigumu Sana kukuta mtoto wa miaka mitatu mpaka mitano anatokwa na kamasi au udenda

Enzi zetu siye ukiambia futa kamasi unalilamba 😂😂😂😂😂😂😂 vijana wa 1990's hamjui hii burudani
 
Acha utani mkuu
 
Back
Top Bottom