REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Mkuu Kama Wewe ni mhenga angalia siku hizi idadi ya watoto wanaotoa udenda so unaowakuta na uchafu wa makamasi Kama zamaniAcha utani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kama Wewe ni mhenga angalia siku hizi idadi ya watoto wanaotoa udenda so unaowakuta na uchafu wa makamasi Kama zamaniAcha utani mkuu
Kusema ukweli!
Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu!
Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria!
Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa?
Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu inaitwa U.T.I inatesa watu!
Serikali wala haijawahi kutueleza chimbuko la UTI limeingiaje nchini kutokea wapi!
Inakuwaje zaman enzi hizo tulikuwa wachafu wa kutupwa hatuna vyoo vya kutosha, tunachambia majani na mchanga, wasiotahiriwa walikuwa 80%, ya waume na wake walikaa na utoko na ukiriguru makalioni siku 3 bila kuoga lakini magonjwa ya ajabu kama haya hayakuwepo:
lakini sahivi usafi kila kona,tishu kama zote, na tunakunywa maji ya chupa na dawasa lakini UTI na malaria kila kona haipoi!
Je tatizo ni nn? Nani anafaidika na haya ma antibiotic na vyandarua vinavyoletwa kutoka inje?
Wakati mwingine serikali muangalie sana hii misaada mnayochukua!
Huenda hiyo misaada ndo chanzo cha haya inakuja na mabalaa!
Siamini kama kweli tumeshindwa kutokomeza haya magonjwa!
Haya magonjwa ni janga linaua sana figo siku hizi, P2 zinaharibu vizazi na kuongeza ugumba wizara ya afya wala hawana mkakati wowote kutomeza magonjwa sugu!
YeahIt’s Malaria not Maralia
Udenda ni ishara ya uchizi sahivi watoto wanaakiliMkuu Kama Wewe ni mhenga angalia siku hizi idadi ya watoto wanaotoa udenda so unaowakuta na uchafu wa makamasi Kama zamani
Baadhi ya maradhi ni biashara za watuKusema ukweli!
Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu!
Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria!
Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa?
Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu inaitwa U.T.I inatesa watu!
Serikali wala haijawahi kutueleza chimbuko la UTI limeingiaje nchini kutokea wapi!
Inakuwaje zaman enzi hizo tulikuwa wachafu wa kutupwa hatuna vyoo vya kutosha, tunachambia majani na mchanga, wasiotahiriwa walikuwa 80%, ya waume na wake walikaa na utoko na ukiriguru makalioni siku 3 bila kuoga lakini magonjwa ya ajabu kama haya hayakuwepo:
lakini sahivi usafi kila kona,tishu kama zote, na tunakunywa maji ya chupa na dawasa lakini UTI na malaria kila kona haipoi!
Je tatizo ni nn? Nani anafaidika na haya ma antibiotic na vyandarua vinavyoletwa kutoka inje?
Wakati mwingine serikali muangalie sana hii misaada mnayochukua!
Huenda hiyo misaada ndo chanzo cha haya inakuja na mabalaa!
Siamini kama kweli tumeshindwa kutokomeza haya magonjwa!
Haya magonjwa ni janga linaua sana figo siku hizi, P2 zinaharibu vizazi na kuongeza ugumba wizara ya afya wala hawana mkakati wowote kutomeza magonjwa sugu!
Hususan hayaBaadhi ya maradhi ni biashara za watu
😂😂😂Udenda ni ishara ya uchizi sahivi watoto wanaakili