Kuna baadhi ya nchi duniani washaufuta ugonjwa wa maralia, sisi tumeshindwa hata kufuta kelele tu mtaani


It’s Malaria not Maralia
 
Mkuu Kama Wewe ni mhenga angalia siku hizi idadi ya watoto wanaotoa udenda so unaowakuta na uchafu wa makamasi Kama zamani
Udenda ni ishara ya uchizi sahivi watoto wanaakili
 
Baadhi ya maradhi ni biashara za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…